Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
-
- #41
Zipo hizo nilizoweka hapo juu kwenye pichaMnazo za hadi kilo ngapi kubeba uzito
Naomba model code na maker niigoogle vizuriNaomba nikueleweshe kuwa hii ni mini drone sio mid size wala large ni MINI DRONE
Ina Gram 59 ikiwa yenyewe na Gram 259 ikiwa kwenye storage bag na accessories zake
Ok light drone and not heavy duty drone i understand.Zipo hizo nilizoweka hapo juu kwenye picha
Drone hazibebi chochote zaidi ya camera ambayo ipo fixed kwa ajili ya kurekodi videos na kupiga picha
ExactlyOk light drone and not heavy duty drone i understand.
Hauhutaji kibali mkuu
Biashara ImaniHauhutaji vibali kwa sababu sheria za TCAA zinatoa vibali kwa drone zinazoanzia na uzito kwa Kg 7 na kuendelea
Drone yetu ina uzito wa Gram 59 ikiwa yenyewe na ikiwa kwenye storage bag total weight ni 269 grams so hauhitaji kibali
Hiyo hapo ipo waziBiashara Imani
Kwahiyo Jitahitadi Uwe Na Hiyo Sheria Kututoa Tongotongo Tusiojua
Hapo mwenyewe nimeshangaa.Kwa nini hii haihitaji vibali vya TCAA?
Si hata kurusha tiara/ kite kwa sasa mpaka uwe na makaratasi ya mamlaka