solar power ndogo zenye nyaya ndefu na bulb zake mbili zina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa masaa kumi na mbili kwa mawasiliano 0654 996561 ,[email protected]
MwanaHaki unakosea sana ndugu, kua positive acha zako, eng sio cheo hiyo ni shule kaka. Takwimu zinaonyesha M-TZ kipato chake ni dola moja ya USA sasa hayo masola makubwa ni ya nini?utamuuzia nani? Kutokujua kwako biashara isiwe sababu ya kumfanya Eng. Asifanye mamboozz. Mwache atengeneze ndogo auze nyingi kwa watu wengi na si kubwa kwa watu wachache.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.