INAUZWA Mini wifi Spy camera

Haupokei simu
 
Ivi vinafaa kuibia taarifa za siri za watu💰😀😀
 
Naomba uelezee zaid inafanyaje kazi?yani unaweka tu na kuanza kutumia au?
Ndio haina mambo mengi mkuu

Ukishawasha camera una weza ukatumia wifi ukaona matukio kwenye simu yako au ukaweka memory card ikarekodi matukio halafu baadae ukaangalia kupitia simu yako,laptop au computer
 
Sisi wakazi wa Nyarugusu, mgusu, kamena, nyakabale, manga, sota, nyawilimilwa hiyo camera tunaipataje?
 
Vipi haina pia Uwezo wa Kuangalia ( Kumulika ) na Kututhibitishia kuwa ni kweli Majaliwa Jackson aliokoa wale Manusura 24 wa Ajali ya Ndege ya Precision Air Ziwa Victoria Bukoba Ili tuamini na tumuamini rasmi?
 
Kama ni ya kuchaji,inakaa na chaj muda gani? Vp huwezi iunganisha na umeme?
Mkuu naomba kufahamu Kama unaweza weka CCTV cameras nyumbani lakini zikawa zinatumia umeme wa solar
 
Vipi haina pia Uwezo wa Kuangalia ( Kumulika ) na Kututhibitishia kuwa ni kweli Majaliwa Jackson aliokoa wale Manusura 24 wa Ajali ya Ndege ya Precision Air Ziwa Victoria Bukoba Ili tuamini na tumuamini rasmi?
Ingekua imefungwa kwenye precision Air basi bila shaka tungeweza kuupata ukweli live bila chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…