Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
- Thread starter
- #41
Hii ni spy camera na sio cctv camera so inakaa na charge kwa masaa mawiliKama ni ya kuchaji,inakaa na chaj muda gani? Vp huwezi iunganisha na umeme?
Mkuu naomba kufahamu Kama unaweza weka CCTV cameras nyumbani lakini zikawa zinatumia umeme wa solar
Unaweza ukaiunganisha na umeme ikawa on muda wote
Kuhusu cctv cameras za solar ndio unaweza ukafunga nyumbani