Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Heko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-(24,000kshs),wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-(15000kshs) mpaka leo hii.....
-Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both
N. B, pamoja na kupata katiba mpya, pamoja na kubadilisha vyama vya kisiasa lakini, infact hakuna jipya, tujifunze kwa majirani waliotuzunguka!
-Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both
N. B, pamoja na kupata katiba mpya, pamoja na kubadilisha vyama vya kisiasa lakini, infact hakuna jipya, tujifunze kwa majirani waliotuzunguka!