Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kwahiyo mama hatumdai kitu.Heko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-,wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-mpaka leo hii.....
-Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both
July25-30 itasoma!ngoja kwanza hiyo laki 5 mpaka iingie kwenye akaunti, usiamini maneno ya mtu tanzagiza hata siki moja, historia inatufundisha hivyo hasa waislamu …
hatuna deni naye labda aseme yeyeKwahiyo mama hatumdai kitu.
July25-30 itasoma!
😀ngoja kwanza hiyo laki 5 mpaka iingie kwenye akaunti, usiamini maneno ya mtu tanzagiza hata siki moja, historia inatufundisha hivyo hasa waislamu …
Ili swala linanishangaza utakuta chakula kariakoo unakula Kwa 5000 na Nairobi unakula Kwa 5000 ya kitanzania , kiufupi vitu vingi vinafanana bei hawa consumables goodsMwaka jana nilipokuwa Nairobi nilinunua sukari bei sawa na ya Tanzania baada ya ku convert!
Red black
Upo sahihi mkuu,that mean upo uwezekano wakenya kwa siku za baadae wakafurika kusaka kaziIli swala linanishangaza utakuta chakula kariakoo unakula Kwa 5000 na Nairobi unakula Kwa 5000 ya kitanzania , kiufupi vitu vingi vinafanana bei hawa consumables goods
rushwa uchaguzi 2025 hiyoHeko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-(24,000kshs),wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-(15000kshs) mpaka leo hii.....
-Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both
N. B, pamoja na kupata katiba mpya, pamoja na kubadilisha vyama vya kisiasa lakini, infact hakuna jipya, tujifunze kwa majirani waliotuzunguka!
Hiyo pesa Ni kubwa Sana ya Tanzania kuliko hata Kenya ukifuatishsa Ulinganisho wa Gharama za Maisha (Cost of Living):Heko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-(24,000kshs),wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-(15000kshs) mpaka leo hii.....
-Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both
N. B, pamoja na kupata katiba mpya, pamoja na kubadilisha vyama vya kisiasa lakini, infact hakuna jipya, tujifunze kwa majirani waliotuzunguka!
Toka lini kupanda kwa mishahara kukageuka rushwa, chadema ni janga la taifa letu.rushwa uchaguzi 2025 hiyo
#NoReformsNoElection
mtasema yote mwaka huu!Toka lini kupanda kwa mishahara kukageuka rushwa, chadema ni janga la taifa letu.