Mining eng. Or chemical processin which is which

Kadabrah

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
54
Reaction score
7
Naomba mnisaidie kati ya mining eng na chemical processing ipi inanifaa kusomea kwa kuangalia na soko la ajira
 
Naomba mnisaidie kati ya mining eng na chemical processing ipi inanifaa kusomea kwa kuangalia na soko la ajira

soko la ajira linabadilika kila siku, angalia unapenda nini kati ya hizo!!
 
Nadhani zote hizi zina future hapa Tanzania au popote, Mining sekta inaoneka kuendelea vizuri Tanzania na pia Chemical / Process Engineering ina promise kubwa kwa ugunduzi wa gesi na viwanda vitakavyo fuatia hapo( downstream industries) kama mbolea , chemicals n.k. Pia / Chemical /process engineering unaweza kufiti pahali pengi - haya ni maoni yangu mkuu
 
Naomba mnisaidie kati ya mining eng na chemical processing ipi inanifaa kusomea kwa kuangalia na soko la ajira
kasome chemical engineering haina tofauti sana na petroleum engineering kwan kuna kozi tuna share ina soko sana kwa sasa na cku zijazo kwani discovery of huge reserve ya gas huko mtwara imefanya serikali kujenga gas processing plants ambazo chemical engineers wanahitajika kufanya kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…