Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mnisaidie kati ya mining eng na chemical processing ipi inanifaa kusomea kwa kuangalia na soko la ajira
kasome chemical engineering haina tofauti sana na petroleum engineering kwan kuna kozi tuna share ina soko sana kwa sasa na cku zijazo kwani discovery of huge reserve ya gas huko mtwara imefanya serikali kujenga gas processing plants ambazo chemical engineers wanahitajika kufanya kazi!!Naomba mnisaidie kati ya mining eng na chemical processing ipi inanifaa kusomea kwa kuangalia na soko la ajira