mining engineering vs civil engineering

mining engineering vs civil engineering

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
nilisoma diploma ya uhandisi ujenzi muda kidogo

sasa baada ya kumaliza na maisha kunichapa, nilijikuta nimeingia katika maswala ya uchimbaji wa dhahabu maporini katavi

huko nilifanikiwa kujifunza nje ndani kuhusu madini ya dhabau sema kule tulikuwa tunachimba locally sio kama wasomi

uchimbaji wa kule ulikuwa kimila ama kitamaduni sanaa so tulipitia mamabo mengi sanaa kiasi kwambaa sikutegemea kuyajua hadi fani yangu nikaisahau kidogo walee wataalamu wa kutafuta miamba ardhini kwa kutumia utrasound ya mama juma nazani munaeelwa.

baadae nikarudi tena mjini kuendelea na fani yangu nilianza kujihusishaa na barabara tu hapo nikiwa TARURA
baadae napo nikahama nikaaingia halmashauri kule ilikuwa mwanzo mwisho miradi ya majengo, kule miradi inatekelezwaa kwa njia ya FORCE account

kote huko nilikuwa nakula vijisenti vya serikari kwa kupitia tittle ya interm so kote huko nilijifunzaa hela ya serikari unaipata vipi hadi kuingia mfukoni, so vijisent nilikuwa navipata uongo mbayaa

sasa nimejifikiria nisome kipi degree, madini au civil jinsi ya kupata pesa kule kwenye madini ni tofauti kabisaa na huku kwenye majengo na barabara
nimekuwa nikitamani kuona watu wakidesign mapits kitaalamu kwa kutumia maprogram

kwenye civil kazi huwa ni za misimu sanaa kuna muda zinakuwepo kuna muda zinakataa
kwenye madini kule site unakuta ni moja tu haibadiliki unaweza kuchimba hata miaka mingi hadi ukachoka mwenyewe

kwenye civil kama we ni mtu wa miradi unakuwa na ile kutangatanga leo dar, kesho msoma, mala, dodoma n.k

sasa nauliza mainjinia wa migodi na ujenzi ipi kozi tamu kati ya hizi, masuala ya ajira hata msipoonglea yanajulikana na sina wasiwasi sanaa maana najua jinsi gani nitapata wapi pesa nisurvive.
 
Mimi nimeishia form six.
sawa kaka, mi sina mpango wa kuajiliwa muda mrefu, nimepangaa kuajiliwa kwa 2years mwisho, nakuwa mfanyabiashara tu, kwa muda niliokaa mtaani kwa upande wa civil, niliyonayo kichwani yanatosha sanaa kwa maisha ya sasa, sioni umhimu wa kuyajua mambo makubwa sanaa, kwasababu unaweza kosa hata sehemu ya kuyatumiaa, kwenye civil nilichobakiza ni kupata hela na kuwekeza kwenye majengo ya shuguri mbalimbali so pindi majengo nitakapomaliza kuyajengaa nazani hata civil sitoitumia tenaa kwa personal benifits, sasa nakosa sababu ya kusoma mavitu makubwa halafu siji kuyatumiaa labda kidogo badala ya civil nisome archtecture, hapa nachanganya uzoefu wangu wa civil, na kubuni vimajengo

yaani kweli umebobea ujenzi wa reli kweli utafnya kazi wapi????? hizi miradi mikubwa zisikie tu kupata mtingoo ni ngumu sanaa.

kwa upande wa madini naona angalau kidogo naweza itumia taaluma kwa vitendo, nikiwa na eneo langu, tipa zangu, nikajenga kituo kama cha stamico cha kuchenjuaa, nikawa na mwalo wangu, makarasha yangu kama 4, nikajenga ofisi, nikiwa na kipimo kikubwaa cha kupima madini, nikawa na leseni ya kununu madini au kumiliki madini, mungu anipe nini sasa??, hata nikisema nimepata kazi kwenye mgodi life la mule la mhandisi migodi huwezi kulinganishaa na civil engnineer, maana hata huku mtaani nimewaona sanaa maisha yao,
 
Back
Top Bottom