MINING (Special thread) MAMAINA/MATX TUKUTANE HAPA TUPEANE MACHAKA/MICHONGO. HUKO ULIKO VIPI!?

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,464
Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa shavu? N.k mm niko master one ifakara hapa vidumu/videbe vinachomoka viwili vya kiislamu, Matx nadhani wananielewa hapa!
 
Mtingaji, michongo, machaka, vinachomoka, vidumu, videbe, shavu,

Hayo maneno sijayaelewa ngoja waje hao uliowalenga kamawapohumu.
 
Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa shavu? N.k mm niko master one ifakara hapa vidumu/videbe vinachomoka viwili vya kiislamu, Matx nadhani wananielewa hapa!
Ww utakuwabwa arusha tu.sio kwa kihuni Niko ulichoandika.

Sijaelewa hata Moja
 
Nenda Shanta chunya
Mkwajuni chunya unapajua,? Nimetinga sana na kampuni ya bamboo rock Shanta, kampuni ya ulinzi inaitwa venture risk management!
 
Hata mm naona maana mmmh
Ndio maana nataka Matx tu humu! Huu Uzi haukuhusu! Wataalam Wa miamba wanakuja, hata jiwe la green tomalin tu ukitumwa wewe unaweza kuleta volcanic glass! wewe!
 
Asante mkuu ngoja nikimbie haraka nimeingia choo cha kiume huku 🙂🙂🙂
 
Kuna Chaka la zamani ila Kampuni ndo MPYA...
Nenda Wazo hill-Twiga Cement, Mining kule....
Videbe vinatoka vya Kiislam pia, but inategemea unatinga na Mashine gani....
HR mtonyo anachukua kama kawa, ila Mult skilled ndo mpango mzima!
 
Powder enzi ya caspian nilikimbia wazo hill na hela ya monica matora hr ya medical checkup,nilikuwa nimeshatest ila salary ukimfungia njiwa anaruka nayo! madon pale ni maop wa greda vinachomoka!
 
Nyie ndo mlimwingiza chaka Mama Matola?
Mnakuja mnafanya Medical check up, mkipewa Advance mnasepa!
But enzi zile ujue kidebe cha maana kilikuwa kinapatikana.

Sasa hivi kampuni mpya yupo David ndo Manager, alikua na Jan yule Kaburu enzi ya Caspian...
By the way sasa hivi nasikia wanalipa fresh, vya Kiislam pia kama kawaida!
Kuanzia Grader, Dozer, Drill rig, Excavator mpango mzima....
 
Alex Kasengo , isaya James Odali, Denis Mutungi Na Severine Tesha Na Rogers Mutale nyie sio ma minner Wala nini mmesha wahi ku mine viazi?
 
Umenikumbusha pori asee enzi ya kina seki na security manager colins bila kumsahau george na babu seya
 
Back
Top Bottom