Mtingaji, michongo, machaka, vinachomoka, vidumu, videbe, shavu,Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa shavu? N.k mm niko master one ifakara hapa vidumu/videbe vinachomoka viwili vya kiislamu, Matx nadhani wananielewa hapa!
Ww utakuwabwa arusha tu.sio kwa kihuni Niko ulichoandika.Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa shavu? N.k mm niko master one ifakara hapa vidumu/videbe vinachomoka viwili vya kiislamu, Matx nadhani wananielewa hapa!
Ameongea kwa code. Anataka wachangie wahusika tuWw utakuwabwa arusha tu.sio kwa kihuni Niko ulichoandika.
Sijaelewa hata Moja
Hata mm naona maana mmmhAmeongea kwa code. Anataka wachangie wahusika tu
Asante mkuu ngoja nikimbie haraka nimeingia choo cha kiume huku 🙂🙂🙂Ndio maana nataka Matx tu humu! Huu Uzi haukuhusu! Wataalam Wa miamba wanakuja, hata jiwe la green tomalin tu ukitumwa wewe unaweza kuleta volcanic glass! wewe!
Nyie ndo mlimwingiza chaka Mama Matola?Powder enzi ya caspian nilikimbia wazo hill na hela ya monica matora hr ya medical checkup,nilikuwa nimeshatest ila salary ukimfungia njiwa anaruka nayo! madon pale ni maop wa greda vinachomoka!
mtt mzur ka ww uez elewa hzo lugha za wa tx,,nkusaidie tuu m tx ni dereva wa magari makubwa ambayo ni mashine pia km excavator,grader, loaderWw utakuwabwa arusha tu.sio kwa kihuni Niko ulichoandika.
Sijaelewa hata Moja
Asante kwa msaadamtt mzur ka ww uez elewa hzo lugha za wa tx,,nkusaidie tuu m tx ni dereva wa magari makubwa ambayo ni mashine pia km excavator,grader, loader