my question is how the "Northearn Corridor Development" relates with EAC??
Nimesikia hiyo wizara mpya kaitangaza Uhuru Kenyatta.
This is taking the battle to a whole new level. Nashauri TZ tujibu na wizara maalum inayojitegemea ya masuala ya Afrika Mashariki na Central Corridor Development.
Kuna azimio la Afrika Mashariki kwamba kila nchi lazima iwe na wizara ya masuala ya Afrika Mashariki lakini baada ya mda nchi nyingi zikaimerge hiyo wizara into other ministries (kwa mfano Tanzania iliingizwa kwenye wizara ya mambo ya nje).
This war is just beginning. The aim is to bring development to East Africans. ALUTA CONTINUA!
Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
Dawa imekiungia.forget about a dead deal.
I asked so coz it sounds like it fits in the ministry of works or infrastructure (if YOU have).
Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
Hizi transport corridors kwa taarifa yako ndio backbone ya economies za East Africa. I am very sure zaidi ya 80% ya watanzania wanaishi along the central corridor and 80% ya wakenya along the north.Huu ndo ujinga wa sisi Waafrika badala ya kushirikiana unataka tugombanie, sasa kuna kipi cha kuogombania hapo? Kakeki kenyewe kadooogo lkn watu wanataka kutoana meno, huu ujinga!
Hizi nguvu tungeziwekeza TZ kwenye kuchukuwa Rasilimali zetu na kujenga copper smelter nhapa hapa kwetu ingetufikisha mbali sana kuliko kuhangaika na hawa masikini sijui Sudani mara sijui Bungoma, tuache huu ujinga!
Hizi transport corridors kwa taarifa yako ndio backbone ya economies za East Africa. I am very sure zaidi ya 80% ya watanzania wanaishi along the central corridor and 80% ya wakenya along the north.
Kuendeleza hizi transport corridors ni muhimu mno.
My point is kuwe na wizara maalum ya kusimamia masuala ya EAC na development of the central corridor, coz this corridor is very important not only to TZ but to the EAC as well.
Dawa imekiungia.
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
Barbara ya Voi-Arusha inajengwa sahii,Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
Kwa faida ya nani? Yaani ushenzi wote tunaofanyiwa na Kenya kuna watu wanafikiria kuwapa access kupitia territory yetu?Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
Make them depend on you.....alafu unavuna hela from them.Kwa faida ya nani? Yaani ushenzi wote tunaofanyiwa na Kenya kuna watu wanafikiria kuwapa access kupitia territory yetu?
Shamba la bibi mpaka litalimwa na all dicks and Harrys.Kwa faida ya nani? Yaani ushenzi wote tunaofanyiwa na Kenya kuna watu wanafikiria kuwapa access kupitia territory yetu?
Make them depend on you.....alafu unavuna hela from them.
Imagine hela zitakazoingia bongo from them using our territory?
Bora kuliko all dicks n harrys kuliko nyang'au. Si mmeona hamfanyi kazi Tanzania bila permits sasa na hata kuchunga mwuko!Shamba la bibi mpaka litalimwa na all dicks and Harrys.
Unajua maana ya common market au unaropoka hamna road tolls watakazolipa! I suggest Tanga be improved instead n cater for that cargo Mombasa transports to land locked countries! The benefits will be immense..Make them depend on you.....alafu unavuna hela from them.
Imagine hela zitakazoingia bongo from them using our territory?