Ministry of East African Community and Northern Corridor Development

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
Nimesikia hiyo wizara mpya kaitangaza Uhuru Kenyatta.
This is taking the battle to a whole new level. Nashauri TZ tujibu na wizara maalum inayojitegemea ya masuala ya Afrika Mashariki na Central Corridor Development.
Kuna azimio la Afrika Mashariki kwamba kila nchi lazima iwe na wizara ya masuala ya Afrika Mashariki lakini baada ya mda nchi nyingi zikaimerge hiyo wizara into other ministries (kwa mfano Tanzania iliingizwa kwenye wizara ya mambo ya nje).
This war is just beginning. The aim is to bring development to East Africans. ALUTA CONTINUA!

map-1024x798.png
 
my question is how the "Northearn Corridor Development" relates with EAC??
 
Nimesikia hiyo wizara mpya kaitangaza Uhuru Kenyatta.
This is taking the battle to a whole new level. Nashauri TZ tujibu na wizara maalum inayojitegemea ya masuala ya Afrika Mashariki na Central Corridor Development.
Kuna azimio la Afrika Mashariki kwamba kila nchi lazima iwe na wizara ya masuala ya Afrika Mashariki lakini baada ya mda nchi nyingi zikaimerge hiyo wizara into other ministries (kwa mfano Tanzania iliingizwa kwenye wizara ya mambo ya nje).
This war is just beginning. The aim is to bring development to East Africans. ALUTA CONTINUA!

map-1024x798.png

Huu ndo ujinga wa sisi Waafrika badala ya kushirikiana unataka tugombanie, sasa kuna kipi cha kuogombania hapo? Kakeki kenyewe kadooogo lkn watu wanataka kutoana meno, huu ujinga!

Hizi nguvu tungeziwekeza TZ kwenye kuchukuwa Rasilimali zetu na kujenga copper smelter nhapa hapa kwetu ingetufikisha mbali sana kuliko kuhangaika na hawa masikini sijui Sudani mara sijui Bungoma, tuache huu ujinga!
 
Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
c8h0vm0000aramvi.jpg

forget about a dead deal.
I asked so coz it sounds like it fits in the ministry of works or infrastructure (if YOU have).
 
Wakenya wanaojitambua
Screenshot_20180127-084927.png
Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
c8h0vm0000aramvi.jpg
 
Hilo neno 'Northern corridor' linakupa kiwewe, kitu chenyewe hiki hapa kinachokonoa na kumgusa Mrundi, Mnyarwanda na Mkongoman hadi penyewe ilhali hatupo nao mpaka mmoja.
c8h0vm0000aramvi.jpg
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
 
Huu ndo ujinga wa sisi Waafrika badala ya kushirikiana unataka tugombanie, sasa kuna kipi cha kuogombania hapo? Kakeki kenyewe kadooogo lkn watu wanataka kutoana meno, huu ujinga!

Hizi nguvu tungeziwekeza TZ kwenye kuchukuwa Rasilimali zetu na kujenga copper smelter nhapa hapa kwetu ingetufikisha mbali sana kuliko kuhangaika na hawa masikini sijui Sudani mara sijui Bungoma, tuache huu ujinga!
Hizi transport corridors kwa taarifa yako ndio backbone ya economies za East Africa. I am very sure zaidi ya 80% ya watanzania wanaishi along the central corridor and 80% ya wakenya along the north.
Kuendeleza hizi transport corridors ni muhimu mno.
My point is kuwe na wizara maalum ya kusimamia masuala ya EAC na development of the central corridor, coz this corridor is very important not only to TZ but to the EAC as well.
 
Tunagombania kakeki kadooogo! Hii Dunia ni kubwa tuwekeze kwenye natural resoureces processing industries ili tu export kwenda China, India, Mashariki ya Kati n.k. huko ndo kuna hela badala ya kushindana na msikini hao, hizo zote ni masikini hakuna chochote!
 
Hivi unawajua manyangau? Muulize Nyerere
Wenyewe wanabaguana kikabila ije iwe kwa Africa Mashariki!!
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
 
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
Barbara ya Voi-Arusha inajengwa sahii,

Pics from the kenyan side

No title(271).jpg
No title(270).jpg
No title(269).jpg
No title(268).jpg

One border post Holili taveta

No title(272).jpg

Hio Barbara ikikamilika kuna dry port tunajenga hapo voi, SGR itakua inashukisha Mizigo voi alafu malori yanapeleka taveta,arusha...na kwenda mbele
wp_ss_20180127_0010.png
 
Imagine if kungekuwa na corridor ya Mombasa-Taveta-Arusha-Nyakanazi-Kigali/Bujumbura-CongoDR.
Lakini kwa kuwa hatuna mtu wa kuwaza ki East Africa zaidi that will never happen. Bandari ya Mombasa ingepata a very big boost. The distance would be shortened by over 400km.
Instead tutaendelea kushindana tu.
Ndio maana huwa nasema bandari zote za EAC ziwe mali ya jumuiya. Maybe then they will think regional not national.
Kwa faida ya nani? Yaani ushenzi wote tunaofanyiwa na Kenya kuna watu wanafikiria kuwapa access kupitia territory yetu?
 
Make them depend on you.....alafu unavuna hela from them.
Imagine hela zitakazoingia bongo from them using our territory?
 
Naelewa sana mahesabu yako, nayaona kwa mbali sana na hayahitaji nguvu nyingi kuyaelewa lakini kwa nchi yenu mlivyoghubikwa na chuki na wivu, hamtokuja kuelewa such simple algorithm. Sisi tumejenga state-of-the-art road inayofika hadi kwenye huo mpaka na tumeweka one stop border post.
 
Make them depend on you.....alafu unavuna hela from them.
Imagine hela zitakazoingia bongo from them using our territory?
Unajua maana ya common market au unaropoka hamna road tolls watakazolipa! I suggest Tanga be improved instead n cater for that cargo Mombasa transports to land locked countries! The benefits will be immense..

Plse dont try to be much know with yellow little knowledge on the prospects! Leave Magu alone with his revamping of Tanga-Arusha rail plus construction of ICD in Arusha. He isn't stupid he has a panel of economists to explain to him. Regional block is all about competition n our size is an advantage to us to fully utilize.
 
Back
Top Bottom