deogratius pascal
Member
- Jun 28, 2014
- 16
- 7
kama unataka kumaliza tatizo lako basi fuata ushauri wangu huuJamani naombani msaada, nina tatizo la kuugua magonjwa hayo matatu kwa muda wa miaka sita, nikitumia dawa napata nafuu ila baada ya wiki mbili nikipima na kuta bado ipo, hili tatizo linasababishwa na nini? Na dawa gani nitumie ili haya magonjwa yaishe
Sasa mkuu huwa Unakunywa kijiko au kikombe...?kama unataka kumaliza tatizo lako basi fuata ushauri wangu huu
Ugonjwa wa Typhod,Amiba na Minyoo limekua ni tatizo kubwa kwa watu wengi kwa nyakati hizi na hii inatokana na usumbufu ambao watu wanaupata kutokana na hii tiba ya kisasa, sipendi nieleze zaidi kuhusu hilo ila kila mtu anajua amehangaika kiasi gani kutafuta tiba ya Typhod au Amiba mahospitalini bila mafanikio
ila leo nitaelezea jinsi ya kutengeneza dawa ya za magonjwa hayo kama ifuatavyo
MALIMAO
MAANDALIZI
Chukua 1• Majani ya mpera ya kutosha yasiwe chini ya saba
2• Malimao matatu
3• Punje za vitunguu thaumu 21
Vyote hivyo vitwange pamoja ila limao kamua maji yake kisha changanya pamoja
MATUMIZI
Kunywa dawa hiyo yote asubuhi kabla hujala chochote kwa muda wa siku saba.
GlassSasa mkuu huwa Unakunywa kijiko au kikombe...?
Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupona.Msaada kwa anaye fahamu dawa nzuri ya kuponya minyooo aina ya Amoeba
Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia ili uweze kupona.Jamani naombani msaada, nina tatizo la kuugua magonjwa hayo matatu kwa muda wa miaka sita, nikitumia dawa napata nafuu ila baada ya wiki mbili nikipima na kuta bado ipo, hili tatizo linasababishwa na nini? Na dawa gani nitumie ili haya magonjwa yaishe