Minyoo Sugu ya Safura

Minyoo Sugu ya Safura

mocran

Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
45
Reaction score
8
Habari wana JF,

Ninasumbuliwa na minyoo ya safura inayojirudiarudia.

Zipi dawa nzuri ya kutibu kabisa.
 
Vitungu swaumu.tafuna punje 15.asubuhi kabla haujala chochote asubuhi kwa siku tatu
 
chakii ukuje uni ambie safura ndo worms gani...maana huwa na wasikia tu au ndo hook worms..
 
Back
Top Bottom