Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
Hey men keep head down don't be with that community p...syKatika tembea tembea zangu, nimekutana na wengi wa mashangazi wana maumbo mazuri, chura ya kuvutia ikiwa ikinesa nesa, wanakuwa na swaga za kianamke; kusema ukweli nikikutana nao huwa nashindwa kuchomoa, najikuta nampenda tu.
Kwa hali hii, hii miaka mitano sijengi, ni kula maisha na mishangazi tu.
View attachment 3076821