peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hana hayo mavyama, labda ulaaniwe na mbowe.Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
Muovu mmoja anapotubu na kuungama dhambi zake Malaika Mbinguni wanashangilia sana...Nimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
Mbona una hasira😂😂Mungu hana hayo mavyama, labda ulaaniwe na mbowe.
Yule mwenyekiti wa Kagera anataka kupoteza watu.....sasa watu wanakimbia chama kama hiki. Lazima Mungu atajweUsilitaje Bure jina la Bwana Mungu wako
Kumkiri Shetani ni moja ya laana zisizosamehekaNimeamua kuwa mkweli na kusema ukweli ulio moyoni mwangu!
Ni kweli , na hasa kama Mzazi huyo ni katibu kataMtu una laana za wazazi wako, unasingizia ccm😂
Huyo hakuwahi kuwa Chadema hata mara mojaErythrocyte mmekosa watu wa propaganda mitandaoni mpaka mnaokota dizaini hii
Hosana HosanaMuovu mmoja anapotubu na kuungama dhambi zake Malaika Mbinguni wanashangilia sana...
Mungu atukuzwe kwa kulitambua hilo.
NakaziaUsilitaje Bure jina la Bwana Mungu wako
Tatizo sio chama kama taasisi!