Miongoni mwa sababu za Elimu ya Tanzania kuonekana duni na ya kukaririshana tu

Miongoni mwa sababu za Elimu ya Tanzania kuonekana duni na ya kukaririshana tu

Lini labda.
Mbona leo ndio rahisi zaidi kuunda vitu. Kuna machine nyingi sana za bei poa na hata za mtumba. Kubumba vitu/molding hata wahunzi wa kawaida hawajafika hata drs7 wanajua. Mashine za ku mold plastic zimejaa. CNC mashine hadi kenya hapo wanaunda locally. Printing machine hata wakenya wanajua teknolojia hio. Ni hivi "maamuzi " ndio mdudu anaesumbua TZ. Tuna amini kila kitu hakiwezekani. Tumeaminishwa kwamba mambo hayawezekani kumbe yanawezekana.
Usipoweza leo hutaweza kesho.
KANTANKA CAR COMP. ya ghana walianza ku mold engine na mashines mbali mbali, Nenda google kaone gari zao za sasa, ni nzuri sana. Waliunda hadi skaveta, winch, misile launcher kienyeji sana. Sasa hivi wanaunda military weapon.
Hivyo watu mmoja mmoja tunatakiwa tuamue kufanya na inawezekana kukua kwa mda mfupi sana.
Etheopia kuna kashirika ka wazawa kameanzisha After school curriculum, hapo wanajifunza programming, robotic nk. Sie tuendelee kusibiri mwokozi.
Interesting , natamani kujua na shule zetu za ufundi hizi Ifunda Tech , Mtwara tech na nyinginezo ufundi wanaofundishwa mashuleni
 
Back
Top Bottom