Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 384
Ndio hizi ni kwetu tuhii kwa ajili aya africa pekee ndo inatokea hvyo si ndio???
Sawaweka na aina ya kadet pia
kuna grades za 45,000 or 55,000 kwenda juu hazina hayo masharti
weka na aina ya kadet pia
kuna grades za 45,000 or 55,000 kwenda juu hazina hayo masharti
🤣🤣🤣 sasa wewe nunua hizo og alaf usifate kanuni km hutovaa week mbiliKuna mashine zinaitwa Viccobs ni OG. Hizo sheria za jamaa ni za Kadet za elfu 18 Vunja bei
Labda uwe umepigwa🤣🤣🤣 sasa wewe nunua hizo og alaf usifate kanuni km hutovaa week mbili
Hizi sheria zinahusu kadeti zinazouzwa kwa mafungu😆😆😆Hizi ni sheria kwa wanaopenda kuvaa kadeti, fanya haya ili sipauke mapema
☆tumia sabuni ya kipande
unapoifua usitumie sabuni ya unga
☆igeuze nje ndani unapoifua
☆usiianike kwenye jua anika kwenye kimvuli
☆usiipige pasi ikibidi ipige ikiwa imegeuzwa
☆Usiiloweke muda mrefu kwenye maji
☆usiikamue maji unapoianika iache ikiwa na maji
☆usitumie maji chumvi katika kufua
Hizo ni baadhi ya sheria chache kati ya nyingi, kuifanya nguo yako isichakae mapema
Nawasilisha ndugu zangu
Kuna kitambaa cha kadeti dukan??🤔🤔🤔Mimi nina kadeti tatu zina zaidi ya miaka 3. Masharti hayo siyafuati, lakini bado ziko bomba, isipokuwa moja ndio imeanza kupauka.
NB: Kadeti hizi nilinunua kitambaa dukani na kushonesha kwa fundi.
Vipo vya kunwaga. Wewe nenda kwenye maduka yanayouza vitambaa vya ukweli, maeneo ya Posta au hata Karikoo.Kuna kitambaa cha kadeti dukan??🤔🤔🤔
Pamoja ngoja nitafika hapoVipo vya kunwaga. Wewe nenda kwenye maduka yanayouza vitambaa vya ukweli, maeneo ya Posta au hata Karikoo.
Khimji ni muuzaji maarufu wa vitambaa, duka lake lipo makutao ya barabara ya Morogoro na Samora
Kadeti Ni ya spesho Tena ile OG.lkn ya kushona barazani Wala siwezi kujaribu. Itakuwa UtopoloVipo vya kunwaga. Wewe nenda kwenye maduka yanayouza vitambaa vya ukweli, maeneo ya Posta au hata Karikoo.
Khimji ni muuzaji maarufu wa vitambaa, duka lake lipo makutao ya barabara ya Morogoro na Samora
Zinapatikana wap?Kuna mashine zinaitwa Viccobs ni OG. Hizo sheria za jamaa ni za Kadet za elfu 18 Vunja bei
Mkuu kitambaa gani hichoMimi nina kadeti tatu zina zaidi ya miaka 3. Masharti hayo siyafuati, lakini bado ziko bomba, isipokuwa moja ndio imeanza kupauka.
NB: Kadeti hizi nilinunua kitambaa dukani na kushonesha kwa fundi.
Sawa ndugu. Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua......... Panga na chagua kile unachoona kinakufaa. Lakini kumbuka hata hizo zinazoitwa kadeti original nazo zimeshonwa na wanadamu kwa kutumia machine (cherehani) za kisasa, ambazo tunazo pia hapa Bongo.Kadeti Ni ya spesho Tena ile OG.lkn ya kushona barazani Wala siwezi kujaribu. Itakuwa Utopolo
Nenda kwenye duka la Mhindi anaitwa Khimji, lipo kwenye makutano ya barabara ya Morogoro na Samora. Ni muuzaji maarufu wa vitambaa vya suruali vya kila aina na ubora tofauti Dar. Vyangu vya kadeti nilivyoshonesha suruali nilinunua hapo.Mkuu kitambaa gani hicho
Naomba hata picha aise
Vipomo sio ishuNenda kwenye duka la Mhindi anaitwa Khimji, lipo kwenye makutano ya barabara ya Morogoro na Samora. Ni muuzaji maarufu wa vitambaa vya suruali vya kila aina na ubora tofauti Dar. Vyangu vya kadeti nilivyoshonesha suruali nilinunua hapo.
Uzuri wa suruali za kushonesha mwenyewe fundi anashona kutokana na maelekezo yako na vipimo vinachukuliwa ninavyokuhusu. Mfano kama kiuno chako ni nchi 33, atakushonea kwa kipimo hicho. Suruali nyingi za special hazina vipimo vya namba tasa, wanashufwa.