Miongozo ya utunzaji wa Kadet isipauke haraka

Mimi nina kadeti tatu zina zaidi ya miaka 3. Masharti hayo siyafuati, lakini bado ziko bomba, isipokuwa moja ndio imeanza kupauka.

NB: Kadeti hizi nilinunua kitambaa dukani na kushonesha kwa fundi.
Duh, kitambaa cha kadert dukani mkuu?
 
Shida rangi labda, kadet nyeusi au blue au dam ya mzee kupauka jadi ila kaki utasotea miaka hata 5.
 
Kwahiyo hata boda boda inabidi uipande kisichana?

Yaani hauwezi nyanyua mguu na kukaa ni lazima ukanyage pale pa kuweka miguu?
Unapanda kwa timing.. ukijichanganya unaaibika
 
Kwahiyo hata boda boda inabidi uipande kisichana?

Yaani hauwezi nyanyua mguu na kukaa ni lazima ukanyage pale pa kuweka miguu?
Boda boda nakanyaga kwanza pale pa kuwekwa mkuu ndio nakaa vizuri japo Mimi Ni mrefu kidogo naweza zungusha mguu hewani ukatua upande wa pili[emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Weka na aina ya kadet pia

Kuna grades za 45,000 or 55,000 kwenda juu hazina hayo masharti
Mkuu kama hutojali naomba bland na jina ya kuzitambua quality ya hizo bei maana mtu anaweza kukuuzia cardet kwa 55k alafu ukifua kama umechemsha. Chainizi
 
Hahahahahah aisee huo mtihani

Nikiavaa hizo suruali huwa nakua makini muda wote yaani hata teke siwezi rusha maana utashangaa "chwaaa!!"

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app

Izo kadeti ambazo huwezi rusha mateke ni izo kadeti za kumi Na nane Na kariakoo ni 13 Kwa jumla lakini kadeti zenyewe huwa zinakua Zinavutika
 
Izo kadeti ambazo huwezi rusha mateke ni izo kadeti za kumi Na nane Na kariakoo ni 13 Kwa jumla lakini kadeti zenyewe huwa zinakua Zinavutika
Na mimi najua cardet za ciku hiz ni stretcherble za zaman zile. Ngum ndo ulikuwa msala inachanika kama umemwagia maji ya betri
 
Nimejitahidi kufuata masharti hayo lkn wapi!,Kadeti zangu zimepauka zote.
 
Nguo nazo zina masharti yake jinsi ya kutumia ili zisipauke
Nyingine zinaandikwa do not bleach
Usianike kwenye labda 30 degree c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…