Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Mbowe anaekubali kuhongwa..Ccm wanatoa wapi fedha za kuwahonga wapinzani?
..Je, ni fedha zao binafsi, au fedha za umma?
..Na jambo hilo lina faida gani kwa Mtanzania wa kawaida?
Hao mbona waishafukuzwa Chadema !Lengo lenu ilikua warudi au wafukuzwe? Mbona hamueleweki?
Muulize Mbowe anaekubali kuhongwa
Haya maswali hadi sasa viongozi wengine wa chadema wanajiuliza hivyohivyo.
Mbowe kawaacha kwenye mataa
Wewee mama kutwa kwenye mtandao ya kijamii wewe ni Chadema mara Ufipa walikukosea nini ukiamka mpaka jioni ni Chadema, Ufipa tuuuu. Umetuchosha muudumie mmeo utaachika kisa CDM.Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA.
Matendo ya chama yanaweza kuimarisha imani ya wanachama/wafuasi ya wanachama kwa chama chao, au kuzorotesha kabisa. CHADEMA kwa matendo yenu ya hapa na pale ambayo bila shaka mnafanya bila mkakati wala kufanya tafakuri, baada ya uchaguzi wa 2025 mtajikuta mmepoteza sifa ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani.
Matukio yenyewe ni kama yafuatayo
1. Kitendo cha Lissu kurudi na kuondoka Tanzania
Fikiria ile hamu waliyokuwa nayo na kiongozi wao alipokuwa Ubelgiji. Siku amerudi watu walikwenda kumpokea na kumlaki kwa mahaba na mawada. Ila baada ya muda mfupi tu pasi na kuwa na sababu za msingi ameondoka zake na kurudi Ubelgiji. Kitendo hiki kimevunja sana mioyo ya wanachama wa UFIPA.
2. Kupokea ruzuku waliyoikataa
"Tukipokea ruzuku ni sawa na kukiri kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa haki na halali" - Mbowe. Mbowe alinukuliwa akitamka haya maneno, na maneno haya yaliwapa nguvu sana wanachama wa Chadema. Ila katika hali ya sintofahamu na kushangaza zaidi, UFIPA bila haya wala soni, wamepokea ruzuku hiyo ya zaidi ya Shilingi milioni 800 za Kitanzania. Kitendo hiki kimesigina zaidi mioyo ya watu wa UFIPA.
3. Rais Samia Suluhu kukubali kuwa mgeni Rasmi katika shughuli ya BAVICHA
Ndani ya CHADEMA wapo separatists ambao hawataki hata kidogo kuona kuna muingiliano katika ya chama chao na serikali. Hii imewachoma sana kundi hilo. Mfano Mdude ni watu wa aina hii. Rais Samia Suluhu anatumia 'Soft Power' kupata anachotaka kutoka Chadema, hatumii nguvu na mabavu kama mtangulizi wake.
4. Lema kutusi VICOBA na Bodaboda
Wengi wako mtandaoni kuitetea kauli ya Lema kwamba alikuwa sawa kwenye matamshi yake dhidi ya bodaboda na wanawake wanaoshiriki VICOBA. Kauli hii kutoka kwa Lema haikutegemewa kabisa na wafuasi wa chadema lakini hata kwa watanzania ambapo wanafuatilii siasa. Kauli za Lema za kejeli na dharau kwa bodaboda na watu wa vicoba zimeacha madoa kwa watu wa makundi mbalimbali kwenye jamii..
5. Kujitoa kuwahoji akina Halima Mdee na wenzake.
Mmewafukuza au mmewasamehe? Mbona hamueleweki?Hao mbona waishafukuzwa Chadema !
CCM Ina mali na miradi mikubwa, kwa mwaka tunaingiza bil 200. Kutoa bil 1 au 2 kumpa mbowe Wala sio shida..Viongozi na mashabiki wa Ccm hamjiulizi chama chenu kinatoa wapi fedha za kumhonga Mbowe?
Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA.
Matendo ya chama yanaweza kuimarisha imani ya wanachama/wafuasi ya wanachama kwa chama chao, au kuzorotesha kabisa. CHADEMA kwa matendo yenu ya hapa na pale ambayo bila shaka mnafanya bila mkakati wala kufanya tafakuri, baada ya uchaguzi wa 2025 mtajikuta mmepoteza sifa ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani.
Matukio yenyewe ni kama yafuatayo
1. Kitendo cha Lissu kurudi na kuondoka Tanzania
Fikiria ile hamu waliyokuwa nayo na kiongozi wao alipokuwa Ubelgiji. Siku amerudi watu walikwenda kumpokea na kumlaki kwa mahaba na mawada. Ila baada ya muda mfupi tu pasi na kuwa na sababu za msingi ameondoka zake na kurudi Ubelgiji. Kitendo hiki kimevunja sana mioyo ya wanachama wa UFIPA.
2. Kupokea ruzuku waliyoikataa
"Tukipokea ruzuku ni sawa na kukiri kwamba uchaguzi wa 2020 ulikuwa wa haki na halali" - Mbowe. Mbowe alinukuliwa akitamka haya maneno, na maneno haya yaliwapa nguvu sana wanachama wa Chadema. Ila katika hali ya sintofahamu na kushangaza zaidi, UFIPA bila haya wala soni, wamepokea ruzuku hiyo ya zaidi ya Shilingi milioni 800 za Kitanzania. Kitendo hiki kimesigina zaidi mioyo ya watu wa UFIPA.
3. Rais Samia Suluhu kukubali kuwa mgeni Rasmi katika shughuli ya BAVICHA
Ndani ya CHADEMA wapo separatists ambao hawataki hata kidogo kuona kuna muingiliano katika ya chama chao na serikali. Hii imewachoma sana kundi hilo. Mfano Mdude ni watu wa aina hii. Rais Samia Suluhu anatumia 'Soft Power' kupata anachotaka kutoka Chadema, hatumii nguvu na mabavu kama mtangulizi wake.
4. Lema kutusi VICOBA na Bodaboda
Wengi wako mtandaoni kuitetea kauli ya Lema kwamba alikuwa sawa kwenye matamshi yake dhidi ya bodaboda na wanawake wanaoshiriki VICOBA. Kauli hii kutoka kwa Lema haikutegemewa kabisa na wafuasi wa chadema lakini hata kwa watanzania ambapo wanafuatilii siasa. Kauli za Lema za kejeli na dharau kwa bodaboda na watu wa vicoba zimeacha madoa kwa watu wa makundi mbalimbali kwenye jamii..
5. Kujitoa kuwahoji akina Halima Mdee na wenzake.
Tunahitaji chama cha upinzani kwa sasa. Waliokuwa wapinzani ACTna CHADEMA sasa ni CCM A na B..
Nafasi ya CHAUMA tulepo ubwabwa angalau
Hakika mkuuAnaeamini chadema ni chama cha upinzani bado,atakua kachelewa sana
Kuna vyama vimebaki ki itifaki tu ili watu na familia zao ziende toilet ila uhalisia ni kwamba hayo ni matumizi mabovu ya PESA.
Niliunga sana mkono wazo la kufuta Upinzani hii nchi maana Upinzani hii nchi ni ka uchochoro cha watu wachache kujitafutia kipato kwa kivuli cha kudai kuinua na kubadilisha hali ya maskini.
CCM milele penda usipende
Huu wimbo umechujaChadema bado imara kama Simba! Kuna jitu liliua wapinzani, likawàteka, likawabambikia kesi na.mateso mengi mengi.
Mungu kalivunjilia kwa mbali.
Anakuja mtu anasema jamani ni kweli yule mtu aliwatendea maovu, njoo tukae tuyajadili, tuyamalize tusonge mbele kama taifa Moja. Nyingi si adui zangu mnanionesha wapi nimekosea nami nafanya kweli kurekebisha. Nitakupa Haki zenu, Sasa mtu kama huyo umkatalie? Utakuwa mavi kama mleta mada
Anzisha chama chakoChadema ni malaya wasaka pesa tu,anaetegemea chadema ni taasisi anaota mchana kweupeee,hiyo ni Sacco's
Wametumwa hawa chawa...
Watanzania wana mawazo ya kikoloni bado, mlicheka na kufurahia kipindi baba yenu alipokuwa anawananga na kuwatukana hadharani
Hujui hata unachokiandika.Kuna matukio yametoka hivi karibuni kwenye medani yetu ya siasa hapa nchini, matukio ambayo yamevunja sana mioyo ya wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani, CHADEMA.