Mioyo ya Wafuasi wa CHADEMA imesagika vyakutosha

..Ccm wanatoa wapi fedha za kuwahonga wapinzani?

..Je, ni fedha zao binafsi, au fedha za umma?

..Na jambo hilo lina faida gani kwa Mtanzania wa kawaida?
Muulize Mbowe anaekubali kuhongwa
 
Haya maswali hadi sasa viongozi wengine wa chadema wanajiuliza hivyohivyo.

Mbowe kawaacha kwenye mataa

..Viongozi na mashabiki wa Ccm hamjiulizi chama chenu kinatoa wapi fedha za kumhonga Mbowe?
 
Wewee mama kutwa kwenye mtandao ya kijamii wewe ni Chadema mara Ufipa walikukosea nini ukiamka mpaka jioni ni Chadema, Ufipa tuuuu. Umetuchosha muudumie mmeo utaachika kisa CDM.
 
..Viongozi na mashabiki wa Ccm hamjiulizi chama chenu kinatoa wapi fedha za kumhonga Mbowe?
CCM Ina mali na miradi mikubwa, kwa mwaka tunaingiza bil 200. Kutoa bil 1 au 2 kumpa mbowe Wala sio shida
 

Yamevunja moyo wako, jielezee
 
Tunahitaji chama cha upinzani kwa sasa. Waliokuwa wapinzani ACTna CHADEMA sasa ni CCM A na B..

Nafasi ya CHAUMA tulepo ubwabwa angalau

Well kama unahitaji chama kingine under mfumo huu huu they will turn to ccm b too.
System need to change ili kupata upinzani thabiti or else wata dance the same tune all day
 
Anaeamini chadema ni chama cha upinzani bado,atakua kachelewa sana

Kuna vyama vimebaki ki itifaki tu ili watu na familia zao ziende toilet ila uhalisia ni kwamba hayo ni matumizi mabovu ya PESA.

Niliunga sana mkono wazo la kufuta Upinzani hii nchi maana Upinzani hii nchi ni ka uchochoro cha watu wachache kujitafutia kipato kwa kivuli cha kudai kuinua na kubadilisha hali ya maskini.

CCM milele penda usipende
 
Hakika mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Chadema bado imara kama Simba! Kuna jitu liliua wapinzani, likawàteka, likawabambikia kesi na.mateso mengi mengi.

Mungu kalivunjilia kwa mbali.

Anakuja mtu anasema jamani ni kweli yule mtu aliwatendea maovu, njoo tukae tuyajadili, tuyamalize tusonge mbele kama taifa Moja. Nyingi si adui zangu mnanionesha wapi nimekosea nami nafanya kweli kurekebisha. Nitakupa Haki zenu, Sasa mtu kama huyo umkatalie? Utakuwa mavi kama mleta mada
 
Huu wimbo umechuja
 
Hujui hata unachokiandika.
CJADEMA wao wanasonga, inakuwaje CCM ndiyo mlalamike?
Au ndiyo namna ya kujitibu maumivu anayowaachieni mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…