Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
Tafuta na ile ya USSR, halafu linganisha. Kimsingi Russia ni nchi kubwa duniani ina cut across Eastern Europe to Western Asia na bado upande mwingine ina tazamana na USA pamoja na Canada.