Mipaka halisi ya urusi ya Putin baada ya 1990 ni ipi?

Mipaka halisi ya urusi ya Putin baada ya 1990 ni ipi?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
 
Screenshot_20220503-174952.png
 
Tofauti ya urusi hii na ile ya kabla hawajatengana ninini? Mbona bado hili ni dude kubwa mno?
 
Tafuta na ile ya USSR, halafu linganisha. Kimsingi Russia ni nchi kubwa duniani ina cut across Eastern Europe to Western Asia na bado upande mwingine ina tazamana na USA pamoja na Canada.
 
Urusi bado ni kubwa Sana yani hata kule kuanguka kwake ni almost negligible.
 
Mwanaume Hana mipaka rasmi,inategemea tu siku hio ameamkaje.Akiamka vibaya anaongeza mipaka yake mpk huko Crimea,Donesky etc.

Yaani inategemea na mood yake.
 
Back
Top Bottom