Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kama una akili ungeweka hapa, unaniambia nikasome we huwezi kusoma?Soma sheria za kimataita za mipaka ya baharini utajua nchi au visiwa vya baharini vinagawanaje mipaka ndani ya maji
DP word kasababisha napata taarifa nyingi nsizozijua,Kuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar.
Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere alipotuma mjumbe kwa karume, kwanini Karume alimwambia kuwa mamlaka ya Nyerere yanaishia Nungwi?
Hadi Mafia, Sultan aliiuza kwa wajerumani na hadi anapinduliwa alibakiwa na maeneo yale tu ambayo Zanzibar wanayo sasa hivi.
yepi ndugu andunje?kana mambo mengi bado unahitaji kuyafahamu mkuu
Nungwi siyo alisema ChumbeKuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar.
Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere alipotuma mjumbe kwa karume, kwanini Karume alimwambia kuwa mamlaka ya Nyerere yanaishia Nungwi?
Hadi Mafia, Sultan aliiuza kwa wajerumani na hadi anapinduliwa alibakiwa na maeneo yale tu ambayo Zanzibar wanayo sasa hivi.
hiyo chumbe ipo wapi? si hukohukoNungwi siyo alisema Chumbe
Ni kakisiwa Fulani bahari ya Hindi kabla ya Zanzibar achipelagohiyo chumbe ipo wapi?
kwahiyo tangu karume alijua mipaka huko huko kwenye maji huko. ajabu yake, nimejenga karibu na mtoto na mkwe wa..........., ambao wote ni wazanzibar, na maeneo hayohayo kuna wabunge wa kizanzibar kama wawili wamejenga. dodoma, huku ni kwao ila wakienda kule, sisi kule sio kwetu. ajabu sana.Ni kakisiwa Fulani bahari ya Hindi kabla ya Zanzibar achipelago
Ukizipata ni tag au ni pm kabisaNatafuta T-shirts na scaf za bendera ya Tanganyika. Aliye nazo tafadhari
kaliongee hili zanzibar uone kama utaeleweka. utafukuzwa. pia, kuna mmoja amesema, zamani tulikuwa Tanzania bara na Tanzania visiwani. upande mmoja ukaanza kujipromote polepole ukajiita ni nchi ya zanzibar,m upande mwingine ukapuuzia. sio nchi ya Tanganyika.Tumeshakua nchi moja, hayo ya Tanganyika na Zanzibar mnayatoa wapi? Vyote ni Mali ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania
Zanzibar nationalism Iko strong sana.Nyie machogo hamna uzalendo na Tanganyika yenukwahiyo tangu karume alijua mipaka huko huko kwenye maji huko. ajabu yake, nimejenga karibu na mtoto na mkwe wa..........., ambao wote ni wazanzibar, na maeneo hayohayo kuna wabunge wa kizanzibar kama wawili wamejenga. dodoma, huku ni kwao ila wakienda kule, sisi kule sio kwetu. ajabu sana.
chogo ni mama yako mbuzi we. ndo maana mnabonyezwa vichwa hadi mnakuwa mazuzu.Zanzibar nationalism Iko strong sana.Nyie machogo hamna uzalendo na Tanganyika yenu