Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Unataka kuozea jela weweNatafuta T-shirts na scaf za bendera ya Tanganyika. Aliye nazo tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kuozea jela weweNatafuta T-shirts na scaf za bendera ya Tanganyika. Aliye nazo tafadhari
Mwanangu umeamua kunitukana.Nyie machogo kama machogo OG.chogo ni mama yako mbuzi we. ndo maana mnabonyezwa vichwa hadi mnakuwa mazuzu.
Machogo yalijikuta yanainyasa nyasa Zanzibar ila saa hizi Zanzibar imevaa koti lote.Maji yamefika shingoni kwakweli
Nenda kajenge nani kakuzuiyakwahiyo tangu karume alijua mipaka huko huko kwenye maji huko. ajabu yake, nimejenga karibu na mtoto na mkwe wa..........., ambao wote ni wazanzibar, na maeneo hayohayo kuna wabunge wa kizanzibar kama wawili wamejenga. dodoma, huku ni kwao ila wakienda kule, sisi kule sio kwetu. ajabu sana.
wazenji wanatuzuia kumiliki ardhi kule, wakati wao huku wanamiliki.Nenda kajenge nani kakuzuiya
Unataka kuozea jela wewe
Ni sawa hata Tanganyika Schools, Tanganyika Packers etc. Zilianzishwa kabla ya 1964...tena na WakoloniHakuna sheria yoyote inayoharamisha uvaaji wa bendera ya Tanganyika. Taasisi nyingi bado zinatumia hili jina mfano Tanganyika Arms, Tanganyika Law Society na hata Tanganyika bus services