Mipaka ya Tanganyika na Zanzibar

Nenda kajenge nani kakuzuiya
 
Hakuna sheria yoyote inayoharamisha uvaaji wa bendera ya Tanganyika. Taasisi nyingi bado zinatumia hili jina mfano Tanganyika Arms, Tanganyika Law Society na hata Tanganyika bus services
Unataka kuozea jela wewe
 
Hakuna sheria yoyote inayoharamisha uvaaji wa bendera ya Tanganyika. Taasisi nyingi bado zinatumia hili jina mfano Tanganyika Arms, Tanganyika Law Society na hata Tanganyika bus services
Ni sawa hata Tanganyika Schools, Tanganyika Packers etc. Zilianzishwa kabla ya 1964...tena na Wakoloni

Ila angalia na upepo ukivaa T-shirt hiyo kwasasa utaambiwa unahamasisha uvunjaji wa Muungano.

Na kumbuka wengine pia wataanza kukuiga kuzivaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…