Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

Mipaka yetu ina shida ndio maana vitu feki vimejaa nchini

Mipaka iko wazi mno. Watu wanaingiza bidhaa nchini kwa kupitia uchochoroni na hata wahamiaji haramu hawapitii njia zilizo rasmi
Wewe uliwaona lini hao watu wakipenya kwenye mipaka?Na umaongelea mpaka wa wapi au umetembelea mipaka mingapi ukagundua watu wanapenya?
 
Wewe uliwaona lini hao watu wakipenya kwenye mipaka?Na umaongelea mpaka wa wapi au umetembelea mipaka mingapi ukagundua watu wanapenya?
Kila siku wahamiaji haramu kutoka sudani kusini wanakamatwa. Unafikiri huwa wanadondoka kutoka hewani?
 
Story za mtaani ni kama vile kila mtu anasema akipata guess haachi
 
Wanaingiaje sasa kama siyo uzembe au undezi wa jwtz
Hiyo sio kazi ya Jwtz kuangalia wageni wanaovuka mipaka hiyo ni kazi ya askari wa uhamiaji.
Kama hao wageni wataingia na silaha za maangamizi hapo sawa ndio itakuwa ni kazi ya Jwtz
 
The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.

Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.

Au kazi yao ni nini jamani?
Uwepo wa vitu feki kunategemea sana na soko linalopenda vitu hivyo kwa unafuu. Mtu anakwenda dukani anauliza spare akiambiwa bei kwamba original Tsh 300000 ya mchina ambayo siyo original 120000 moja kwa moja atasema nipe ya mchina. Muuzaji akileta bidhaa original hazitoki kisa watu wanahofia bei. Hii imekuwa kawaida sana bidhaa zote ajabu hadi dawa na vyakula navyo zinacopy.
Mara nyingi mnunuzi anaponunuzi hutambua kuwa bidhaa kuwa bidhaa anayonunua si oroginal ila hana namna ni hali ya uchumi imemsukuma kuchagua hivyo.
 
Back
Top Bottom