The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa sana acheni vituko bana.Ingekuwa katoliki wangekuwa wameshamtangaza kuwa ni mtakatifu na anawaombea huko motoni alipo
Wewe uliwaona lini hao watu wakipenya kwenye mipaka?Na umaongelea mpaka wa wapi au umetembelea mipaka mingapi ukagundua watu wanapenya?Mipaka iko wazi mno. Watu wanaingiza bidhaa nchini kwa kupitia uchochoroni na hata wahamiaji haramu hawapitii njia zilizo rasmi
Kila siku wahamiaji haramu kutoka sudani kusini wanakamatwa. Unafikiri huwa wanadondoka kutoka hewani?Wewe uliwaona lini hao watu wakipenya kwenye mipaka?Na umaongelea mpaka wa wapi au umetembelea mipaka mingapi ukagundua watu wanapenya?
Kumbe walishakamatwa maana yake jeshi bado liko makini na kazi yao,wewe hofu yako niniKila siku wahamiaji haramu kutoka sudani kusini wanakamatwa. Unafikiri huwa wanadondoka kutoka hewani?
Wanaingiaje sasa kama siyo uzembe au undezi wa jwtzKumbe walishakamatwa maana yake jeshi bado liko makini na kazi yao,wewe hofu yako nini
Hiyo sio kazi ya Jwtz kuangalia wageni wanaovuka mipaka hiyo ni kazi ya askari wa uhamiaji.Wanaingiaje sasa kama siyo uzembe au undezi wa jwtz
Uwepo wa vitu feki kunategemea sana na soko linalopenda vitu hivyo kwa unafuu. Mtu anakwenda dukani anauliza spare akiambiwa bei kwamba original Tsh 300000 ya mchina ambayo siyo original 120000 moja kwa moja atasema nipe ya mchina. Muuzaji akileta bidhaa original hazitoki kisa watu wanahofia bei. Hii imekuwa kawaida sana bidhaa zote ajabu hadi dawa na vyakula navyo zinacopy.The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi halifanyi kazi yake ipasavyo.
Au kazi yao ni nini jamani?