mkuu upo sawa kabisa ,,,,,,kuna mda huwa najiuliza kuwa hawa watu wanakwama wapi ila nakosa majibu ,,Bora luse umeanzisha uzi huu... Maana miji mingi tz inakua kwa speed kipindi hichi so maafisa mipango wa wilaya na mikoa waanze kuliangalia hili mapema, Tusirudie makosa.
Wekeni mkazo kwenye miji inayokua hakikisheni ramani zake ni za mipango ya muda mrefu...
Shida ramani za mipango miji sio longterm planned..
sawa mkuu hapo itakuwa vyema zaidiIdea yangu ni Kui 1. COMPRESS DAR 2. Serikali ichukue maeneo Muhimu karibu na Mjini ili iyapange kwa huduma muhimu za Jamii na kuepuka URBAN SPRAWL.
Ntaelezea kila point yangu Vizuri nikitulia.
Tena ni biashara nzuri na itawapatia faida kubwa wakati huo huo kulipendezesha jiji kuliko hv tunavyoenda ss yn km tumekata tamaa.Kwa Dar es salaam TBA na NHC walipaswa wayanunue maeneo ambayo hayakupangwa...
Wabomoe wajenge nyumba zilizo ktk mpangilio km walivyofanya magomeni then waziuze au kupangisha...walionunuliwa wapangiwe maeneo lililokwisha kupangwa kabisa.
Umeona ss uchafu km huo yn unaleta picha mbaya mbaya mbaya, nyumba ni nzuri lkn mpangilio ni mbovu na unaotia kinyaa, km serikali haioni umuhimu wa kuhimiza watu kuepuka ujenzi holela basi waifute ofisi ya mipango miji cz haina kazi ya kufanya bali inatumia fedha za umma pasipo tija yoyote.mkuu hivi vitu si rafiki hatuvihitaji kuviona,,dunia inaenda speed sana View attachment 1565126View attachment 1565127
Hawapo creative...Tena ni biashara nzuri na itawapatia faida kubwa wakati huo huo kulipendezesha jiji kuliko hv tunavyoenda ss yn km tumekata tamaa.
Safi kabisa inapendeza sana.mitaa inabidi iwe straight au round kama hivi bhana...
#TUIAMSHE WIZARA HUSIKA MIPANGO MIJI TZView attachment 1565128View attachment 1565129
Hawapo creative...
Mpaka mkuu wa inchi aseme...
Akisema leo kesho utawaona wanavyotafutana site, unabaki kujiuliza hawa walikua wapi?
inakera sana mkuuUmeona ss uchafu km huo yn unaleta picha mbaya mbaya mbaya, nyumba ni nzuri lkn mpangilio ni mbovu na unaotia kinyaa, km serikali haioni umuhimu wa kuhimiza watu kuepuka ujenzi holela basi waifute ofisi ya mipango miji cz haina kazi ya kufanya bali inatumia fedha za umma pasipo tija yoyote.
ni kweli kabisa,,,,hawa mipango miji wanajikuna vitambi tu,,inabidi wachape kazi kisawa sawa ardhi ni kitu nyeti na thamani...wangekuwa makini hata migogoro ya ardhi tungekuwa hatuioni...Tuanze kwanza kwa kupiga marufuku kujenga sehemu ambazo hazijapinwa na serikali, hata kama ni porini ni bora libaki kuwa pori tu.
Wazembe sn, rais alipambana sn na takukukuru mwishowe mwanga umeonekana na ss kdg wanajitahidi japo kuna tatizo moja la kukariri kila mzungu ni padre ndo bado linatusumbua ila angalau now wanajitahidi, so ofisi nyingine inayofuata ni mipango miji hawa watu ni wazembe na wanahitaji kuwastua vyovyote vile itakavyowezekana, hatuwezi kuvumilia upuuzi huu uendelee.Mipango miji waache ubabaishaji wafanye kazi
daah,,hili jambo linanikera kwa kweli tena kutoka moyoni[emoji58]Halmasahuri za manispaa zinatakiwa ziwajibishwe kwa usimamizi mbovu wa serikali za mitaa, kama wanaweza kuwaongoza watu waache njia za mitaa wanashindwa vipi kuwaelekeza utaratibu wa kujenga? Hawa serikali za mitaa wakifuatiliwa vyema hata yale maswala ya utapeli wa kiwanja kimoja kununuliwa na zaidi ya mtu moja yatapungua. Wakiwa responsible kwa hayo makosa watafuatilia ipasavyo.
Hawa hawa serikali za mitaa ndiyo huwa wanasubiri mkuu wa mkoa husika atangaze usafi kwa kila kaya ndio wao waanze kuhimiza wananchi mkuu wa mkoa akilega lega na wao wanapotezea, wao kazi yao kuomba elfu 2 ya muhuri tu kwa wananchi, yn Afrika wacha tu wazungu watutukane cz watu hatupo committed kabisa tumeweka mbele rushwa kila kona wkt tuna wajibu wa kubadilika ili kuendana na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.Halmasahuri za manispaa zinatakiwa ziwajibishwe kwa usimamizi mbovu wa serikali za mitaa, kama wanaweza kuwaongoza watu waache njia za mitaa wanashindwa vipi kuwaelekeza utaratibu wa kujenga? Hawa serikali za mitaa wakifuatiliwa vyema hata yale maswala ya utapeli wa kiwanja kimoja kununuliwa na zaidi ya mtu moja yatapungua. Wakiwa responsible kwa hayo makosa watafuatilia ipasavyo.
Sure, hawa jamaa wa mitaa wanachukulia madaraka for grantedHawa hawa serikali za mitaa ndiyo huwa wanasubiri mkuu wa mkoa husika atangaze usafi kwa kila kaya ndio wao waanze kuhimiza wananchi mkuu wa mkoa akilega lega na wao wanapotezea, wao kazi yao kuomba elfu 2 ya muhuri tu kwa wananchi, yn Afrika wacha tu wazungu watutukane cz watu hatupo committed kabisa tumeweka mbele rushwa kila kona wkt tuna wajibu wa kubadilika ili kuendana na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa.
Serikali kupitia dmdp imejenga barabara lukuki kila mtaa kilichobaki ni wananchi kupitia serikali za mitaa kuhimizwa kufanya usafi wa barabara zetu lkn kinyume chake barabara zinajaa mamichanga Lundo na wakati mwingine magari makubwa yenye shehena yanapita kwenye barabara hizo hizo na kuharibu kabisa barabara. Wacha niishie hapa cz huu uzi wa usafi nitaufungua baada ya uchaguzi mana saizi kila mtu anajifanya yuko bize na uchaguzi unafki wa mwafrika umetapakaa kila kona ngj nisubiri uchaguzi uishe.