Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

Historia ujirudia na ni mwl mzuri,,kwa upande mwingine nakumbuka hujuma za kisiasa ambazo Israeli ilianzisha dhidi ya Palestinian, wakati huo Kwa kuihujumu PLO ya arafati kwa namna mbalimbali na chini kwa chini ikiunda na kusapoti chama cha Hamas,kwa kudhani kuwa ndo wanaenda kuumaliza upinzani,kumbe ndo wanaujenga,tahamaki kumbe ni bora wangeiacha PLO ikasitawi.
 
Sasa kama mmeshajua CCM ndo inawavuruga si mkae chini muelewane na kukataa kuvurugwa? Nyie mna tofauti gani na mwanamke anayesema sitaki chumbani ila anajilegeza umvue nguo taratibu kisha umgonge? Acheni kusingizia CCM kwa upuuzi wenu wenyewe. Sasa hivi haijulikani mkubwa ni yupi na mdogo ni yupi ndani ya CHADEMA... makada vijana kama Ntobi wanatukana bila kujali chochote kama vile wako kilabuni kwenye pombe za kienyeji.
 
Kuna shida ndani ya CHADEMA na si vema kuukataa huu ukweli na mgombanishi si mwingine bali ni CCM
CHADEMA hawana viongozi wenye busara? Hizo siasa za majitaka walizoanzisha ndiyo zinawagharimu.
 
Kiongozi kukaa madarakani muda mrefu na kugomea kuachia madaraka hiyo ni njama za CCM?
 
Kuendesha Chama kifamilia na kiukabila hapo CCM inahusikaje?
 
Matumizi mabaya ya ruzuku na Fedha nyinginezo CCM inahusikaje?
 
Watanzania wameshakosa Imani na CHADEMA hata kabla ya huo unaoitwa mkakati wa CCM kuibomia hivyo hoja yako Mkuu Haina mashiko
 
Ccm itulie iache chadema wafanye uchaguzi wao. Wakumbuke wanachokifanya huko kina side effect kwao
chadema ni taasisi huru,
ni muhimu zaidi ikakoncentraite kufanya mambo yake bila kua na mawenge dhidi ya maoni au mtazamo wa vyama vingine dhidi ya yanaendelea kuelekea uchaguzi wake wa ndani mapema mwaka ujao 🐒
 
Lisu hujaongelea uhusika wake katika kuiua chadema
 
Wanaomshauri mwenyekiti ndani ya CCM Kwa hayo yanayoendelea ni wajinga sana!

Vita vya CCM sio kwa upinzani Bali ni mwenyekiti was ccm dhidi ya makundi ya kijasusi ya ndani ambayo yanaona matakwa yao na maagizo Yao Kwa Mwenyekiti yamebagazwa na kutotekelezwae!!

Hayati alipambana na chadema akachapisha fomu Moja lakini haikutosha kumpa muhula wa pili akaondoka!!

Baadhi ya maandishi yanasema "Alijenga nchi badala ya kujenga taifa" halafu akaongeza mwandishi kwakuandika"Tulishauri hakusikia Sasa hayupo"!!

Anaemweka Raise madarakani sio chadema Hadi ccm ikaze fuvu kuivunja Bali wenye Dola waliopo nje na ndani ya CCM!!

LISU NA CHADEMA SIO TISHIO LA URAIS 2025 BALI ANATUMIKA KUM KEEP BIZE MWENYEKITI KUMCHOSHA KIMEDANI ACHOKE ILI 2025 WAMUINGIZE MTU WAO WANAEMTAKA NDANI YA CCM!!!

Naendelea kuwaza na kuwazua kama mlipa kodi nisiekwepa kuilipa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…