Mipango ya ccm kuisambaratisha CHADEMA inaenda vema lakini wakumbuke kulinda milango yao pia

Vita vya CCM sio kwa upinzani Bali ni mwenyekiti was ccm dhidi ya makundi ya kijasusi ya ndani ambayo yanaona matakwa yao na maagizo Yao Kwa Mwenyekiti yamebagazwa na kutotekelezwae!!
 
Hayati alipambana na chadema akachapisha fomu Moja lakini haikutosha kumpa muhula wa pili akaondoka!!

Baadhi ya maandishi yanasema "Alijenga nchi badala ya kujenga taifa" halafu akaongeza mwandishi kwakuandika"Tulishauri hakusikia Sasa hayupo"!!
 
Inasikitisha sana...


Cc: Mahondaw
 
Nyie chadema ni wapumbavu, sasa kama mnajua ccm ndie anayewagombanisha kwann nyie wenyewe msikae chini na kuelewana nyie kwa nyie
 
Waratibu wa mipango wanajulikana. Ni kina Yericko Nyerere, Bon Yai wakiongozwa na mwenyekiti wa chama.

But kama asemavyo chawa wao fulan humu JF, kwamba shetan hajawahi kumshinda Mungu. Hivyo watashindwa tu.
 
Watanzania wameshakosa Imani na CHADEMA hata kabla ya huo unaoitwa mkakati wa CCM kuibomia hivyo hoja yako Mkuu Haina mashiko
Uliza tume ya uchafuzi ...wanaija mpaga vitongoji...wakiacha reflaction ya sanduku na rushwa watapata majibu sahihi ya kushangaza Nini watu wanataka...ingekuwa Kama usemavyo huyo Samia angepiga kampeni ya kuchaguliwa zaidi ya miaka minne anajipigia kampeni ya 2025...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…