Mipango ya kuwazuia Dr Slaa na Lowassa kugombea Urais yaiva.

 
Chadema wako wengi tu watasimama kama Tindu lissu,hata ZZ kma katiba ikiwaruhusu,Mnyika,Msigwa ,Wenje n.k

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

hiki kipengele ni wendawazimu tu wa maccm,wawaache watz waendelee kumchagua mtu wanayemwamini hata kama kwa miaka 50. Kila mtz awe na haki ya kuchagua na kuchaguliwa, cha msingi yawe maamuzi ya wapiga kura kupitia sanduku la kura.
 
Chadema wako wengi tu watasimama kama Tindu lissu,hata ZZ kma katiba ikiwaruhusu,Mnyika,Msigwa ,Wenje n.k

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Duh Msigwa!!!!

Yaani yule Msigwa mbunge wa Iringa!!!! YUle aliyetoa hotuba ya UDAKU na kuiaibusha kambi ya upinzani!!!

Yaani Msigwa kweli agombee Urais! kweli kuna watu meichoka nchi yenu!!!!!!!!!!!!
 
Duh Msigwa!!!!

Yaani yule Msigwa mbunge wa Iringa!!!! YUle aliyetoa hotuba ya UDAKU na kuiaibusha kambi ya upinzani!!!

Yaani Msigwa kweli agombee Urais! kweli kuna watu meichoka nchi yenu!!!!!!!!!!!!

Mkuu karibu tena! au ulikuwemo kwa id tofauti? maana magamba......janja nyingi
 
Sio umbea huu! Kifungu cha kipuuzi namna hiyo kinawezaje kuwekwa na kamati ya warioba? Kama ni kweli ndio maana wengine tunafikiri mapendekezo ya serikali tatu ya warioba ni ya kukurupuka. Ili kudumisha jamhuri ya muungano wa tanzania lazima kuheshimu fumbo la baba wa taifa kuhusu muungano; 1+1=2. Serikali mbili ndio jibu sahihi la muundo wa muungano wa nchi moja kubwa na nyingine ndogo sana kwa kulinganisha. Umizeni vichwa lakini hatimae itakua serikali mbili au hakuna muungano.
 
Chris Lukosi

MSUKULE
ni mtu aliechukuliwa kwa nguvu za giza ili atumike kwenye shughuli zisizohitaji akili kama kulima shamba kwa faida ya mwenye Msukule. Chadema inawatumia vijana wasiojitambua kama misukule.



Hii hapa misukule tuliokuwa tumeifuga, sasa tumekupa wewe mbona bado unatufuatafuata?Mlifikiri mkiipata hii ndio mtashinda Arusha, thubutuuuu! Kuwa na Trekta ni hatua moja lkn kujua kulima ndio hitimisho...mnao hao, na mtawalipa posho mlizowaahidi.
 
Last edited by a moderator:
unaoinaje ukimwambia haya nassari mbunge wa chadema?

Usitupe mawe kama unaishi nyumba ya kioo.

Ukumbuke kuwa katiba inabadilishwa na kuna kitu kinaitwa dual nationality. Najua unanisema mimi na nakuhakikishia kuwa nitatimiza nia yangu


hivi kweli huyu muathirika wa dual-sources(vvu na unga) una matumaini ya kufika 2015. Wewe akili yako inadhihirisha ulivyo marehemu tayari. Alafu akili yako ilivyo finyu eti unaota kuwa nawe una haiba ya ubunge. Sorry dude you are the best candidate for the grave. Huwezi kuwa muathirika wa ka kunusa au vvu , ukadhani we bado binadamu kamili. Una dalili zote za kuwa na uchovu wa kiafya. Either live or flashback. Bwana mkosi chris, we endelea na biashara ya kusafirisha mizigo, jihadhari tuu usije jaribu safirisha kitu kingine ili kujipatia fedha za kutimiza ndoto zako ambazo kamwe haziwezi timia. Huko magambani kwenyewe wanakukwepa kutokan na uropokaji uliokubuhu. Umejaribu sana kujipendekeza, but they see you as some desperate idiot. Ugua pole, frustration za maisha zitakumaliza.
 
Asante
 
Duh Msigwa!!!!

Yaani yule Msigwa mbunge wa Iringa!!!! YUle aliyetoa hotuba ya UDAKU na kuiaibusha kambi ya upinzani!!!

Yaani Msigwa kweli agombee Urais! kweli kuna watu meichoka nchi yenu!!!!!!!!!!!!
Msigwa toka watupe Lupango amekuwa mdogo sana
 
Nani kasema na kwa vigezo gani?
Mimi nimesema na kwa vigezo vyangu kutokana na maoni yangu yaliyojaa utafiti wa mambo ya kisiasa ikisaidiwa na nguvu ya pesa, ushawishi wa Mh Lowassa kwa watu wengi
 

Kifungu cha 75 cha Rasimu ya Katiba Kinasema hivi:

Sifa za
Rais
75. Mtu atakuwa na sifa ya kuchaguliwa kushika nafasi ya

madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ikiwa:
(a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa
Katiba hii na sheria za nchi;
(b) ni mwenye akili timamu;
(c) angalau mmoja kati ya wazazi wake ni raia wa kuzaliwa wa
Jamhuri ya Muungano;
(d) wakati wa kugombea, ana umri usiopungua miaka arobaini;
(e) anazo sifa za kumwezesha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano kwa mujibu wa Katiba hii;
(f) anayo angalau shahada ya kwanza ya chuo kikuu
kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi;
(g) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa au mgombea huru;
(h) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa
Taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi au jinsia;
(i) ni mwadilifu na anafuata maadili ya Taifa;
(j) mwenendo wake binafsi hautiliwi shaka na jamii;
(k) hajatiwa hatiani kwa kosa lolote la jinailinalohusu kukosa
uaminifu; na
(l) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi
Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa
kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.


Naomba mnisaidie hicho kipengele anachokisema Malemo kwa mujbu wa Gazeti la Mtz ni kipi? au ni katika Rasimu ya Pili?
 

BS, Mtanzania ni kitu gani!
 
Urais na ubunge ni kazi mbili tofauti,sii haki kumnyima mbunge urais Huku unaruhusu aliyewahi kuwa rais kugombea tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…