Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Wewe ulizani ni powa?Ukimwi ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulizani ni powa?Ukimwi ni noma
Mwandishi wa habari hii akili yake ni kiwango cha Bavicha!
Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Mkuu siamini kama kuna weza kuwa na kipengere cha kipuuzi kama hiki! Kikawaida mtu anagombea uraisi baada ya kupata uzoefu huku chini ukiwemo ubunge, iweje mtu mwenye uzoefu kama huo anyimwe kugombea ubunge? Nini mantiki yake maana kila sheria inayotungwa ina mantiki yake je nini mantiki ya hii sheria? What does it achieve? Huu ni ujinga katiba inapashwa kuweka mipaka ya mambo muhimu tu tena kwa mbali kama vile asiwe mtu ambaye alishawahi kufungwa kwa jinai na mengine kama ilivyo sasa. Katiba lazima izingatie haki na demokrasia siyo kuiminya.Hiki kipengere kitakuwa kimefichwa sana na pengine hawana maana hiyo ila watu labda ndo wanatafasiri vingine tu!
Lakini pia wanajidanganya maana chadema siyo Slaa pekee ndo anaweza kugombea wapo wengi tu wenye sifa za kuigaragaza ccm. Labda kama wamelenga makundi yao huko ccm.
Hiki kipengere pekee ndicho kitakachoifanya katiba yote iwe mbovu na ikataliwe na wananchi. Labda kama malengo yao ni kuchelewesha katiba kwa kwa kuweka vipengere tata ili ikataliwe muda usogee mbele maana ukichungulia kwa jicho la tatu ccm hawataki kusikia kitu uchaguzi unakaribia. Mungu angekuwa fisadi wangemhonga asimamishe miaka isiende mbele!
Hao wanaowataka wao hakuna hata mmoja anayeweza kuwa rais wa hii nchi hivi karibuni! Urais siyo bahati nasibu kama mtu anavyoweza kupata milioni mia za voda au bajaji za tigo au nyumba ya airtel! Urais ni mchakato mrefu huwezi kuwa mtu huna jina ukaibuka tu kama Dovutwa na kuwa Rais wa nchi!
Wajipange upya tunawasubiri watatukuta kwenye kura ya mwisho na watajuta kutufahamu!
slaa ni janga la taifa ataleta udini.iko kipengele poa kwel 2
Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Wapanga mkakati huo wamepenyeza kifungu kwenye Rasimu ya Katiba mpya kinachosema mgombea Urais hapaswi kuwa ameshawahi kuwa mbunge kwa vipindi vitatu mfululizo.
Kifungu hicho ambacho wachunguzi wa mambo wanasema ni kifungu Kandamizi na cha kipuuzi kinawalenga pia wagombea Urais wenye nguvu kutoka CCM kama Edward Lowassa,Bernard Membe,Samwel Sitta na John Magufuli.
Endapo kipengele hicho kitapita kama kilivyo inaonekana wanasiasa watakaokuwa na sifa ya kugombea Urais ni pamoja na January Makamba,Emmanuel Nchimbi,Dr Asha Rose Migiro na wengineo wasiokuwa na majina makubwa.
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema walengwa wakuu wa kipengele hicho ni Dr Wilbroad Slaa na Edward Lowassa wanasiasa wenye nguvu kubwa ndani ya vyama vyao.
Hata hivyo swali la kujiuliza ni Je Tume ya Katiba ya Joseph Warioba ilikubali kusigina haki za watu kwa kununuliwa na wanasiasa uchwara?
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania baadhi ya wanasiasa ndani ya CCM wamekuwa wakipiga kelele kubwa kuhusu muundo wa serikali tatu ili kufunika kipengele hiki cha kijinga kisijadiliwe na hatimaye kipitishwe ndipo watu washtuke ambapo watakuwa wameshachelewa.
Source:Mtanzania Jumapili.
Chadema wako wengi tu watasimama kama Tindu lissu,hata ZZ kma katiba ikiwaruhusu,Mnyika,Msigwa ,Wenje n.k
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duh Msigwa!!!!
Yaani yule Msigwa mbunge wa Iringa!!!! YUle aliyetoa hotuba ya UDAKU na kuiaibusha kambi ya upinzani!!!
Yaani Msigwa kweli agombee Urais! kweli kuna watu meichoka nchi yenu!!!!!!!!!!!!
Sio umbea huu! Kifungu cha kipuuzi namna hiyo kinawezaje kuwekwa na kamati ya warioba? Kama ni kweli ndio maana wengine tunafikiri mapendekezo ya serikali tatu ya warioba ni ya kukurupuka. Ili kudumisha jamhuri ya muungano wa tanzania lazima kuheshimu fumbo la baba wa taifa kuhusu muungano; 1+1=2. Serikali mbili ndio jibu sahihi la muundo wa muungano wa nchi moja kubwa na nyingine ndogo sana kwa kulinganisha. Umizeni vichwa lakini hatimae itakua serikali mbili au hakuna muungano.Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Wapanga mkakati huo wamepenyeza kifungu kwenye Rasimu ya Katiba mpya kinachosema mgombea Urais hapaswi kuwa ameshawahi kuwa mbunge kwa vipindi vitatu mfululizo.
Kifungu hicho ambacho wachunguzi wa mambo wanasema ni kifungu Kandamizi na cha kipuuzi kinawalenga pia wagombea Urais wenye nguvu kutoka CCM kama Edward Lowassa,Bernard Membe,Samwel Sitta na John Magufuli.
Endapo kipengele hicho kitapita kama kilivyo inaonekana wanasiasa watakaokuwa na sifa ya kugombea Urais ni pamoja na January Makamba,Emmanuel Nchimbi,Dr Asha Rose Migiro na wengineo wasiokuwa na majina makubwa.
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema walengwa wakuu wa kipengele hicho ni Dr Wilbroad Slaa na Edward Lowassa wanasiasa wenye nguvu kubwa ndani ya vyama vyao.
Hata hivyo swali la kujiuliza ni Je Tume ya Katiba ya Joseph Warioba ilikubali kusigina haki za watu kwa kununuliwa na wanasiasa uchwara?
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania baadhi ya wanasiasa ndani ya CCM wamekuwa wakipiga kelele kubwa kuhusu muundo wa serikali tatu ili kufunika kipengele hiki cha kijinga kisijadiliwe na hatimaye kipitishwe ndipo watu washtuke ambapo watakuwa wameshachelewa.
Source:Mtanzania Jumapili.
unaoinaje ukimwambia haya nassari mbunge wa chadema?
Usitupe mawe kama unaishi nyumba ya kioo.
Ukumbuke kuwa katiba inabadilishwa na kuna kitu kinaitwa dual nationality. Najua unanisema mimi na nakuhakikishia kuwa nitatimiza nia yangu
2015 for Lowassa, wengine wote ni wasindikizaji na wanatekeleza wajibu wao wa kikatiba
Asantehivi kweli huyu muathirika wa dual-sources(vvu na unga) una matumaini ya kufika 2015. Wewe akili yako inadhihirisha ulivyo marehemu tayari. Alafu akili yako ilivyo finyu eti unaota kuwa nawe una haiba ya ubunge. Sorry dude you are the best candidate for the grave. Huwezi kuwa muathirika wa ka kunusa au vvu , ukadhani we bado binadamu kamili. Una dalili zote za kuwa na uchovu wa kiafya. Either live or flashback. Bwana mkosi chris, we endelea na biashara ya kusafirisha mizigo, jihadhari tuu usije jaribu safirisha kitu kingine ili kujipatia fedha za kutimiza ndoto zako ambazo kamwe haziwezi timia. Huko magambani kwenyewe
wanakukwepa kutokan na uropokaji uliokubuhu. Umejaribu sana kujipendekeza, but they see you as some desperate idiot. Ugua pole, frustration za maisha zitakumaliza.
Msigwa toka watupe Lupango amekuwa mdogo sanaDuh Msigwa!!!!
Yaani yule Msigwa mbunge wa Iringa!!!! YUle aliyetoa hotuba ya UDAKU na kuiaibusha kambi ya upinzani!!!
Yaani Msigwa kweli agombee Urais! kweli kuna watu meichoka nchi yenu!!!!!!!!!!!!
Mimi nimesema na kwa vigezo vyangu kutokana na maoni yangu yaliyojaa utafiti wa mambo ya kisiasa ikisaidiwa na nguvu ya pesa, ushawishi wa Mh Lowassa kwa watu wengiNani kasema na kwa vigezo gani?