makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
Udini upi? Zaidi ya huu wa Kikwete anayejeruhi na kuwaua wachungaji, mapadre na hata kuwaua?slaa ni janga la taifa ataleta udini.iko kipengele poa kwel 2
Kifungu cha 75 cha Rasimu ya Katiba Kinasema hivi:
Sifa za
Rais
75. Mtu atakuwa na sifa ya kuchaguliwa kushika nafasi ya
madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ikiwa:
(a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa
Katiba hii na sheria za nchi;
(b) ni mwenye akili timamu;
(c) angalau mmoja kati ya wazazi wake ni raia wa kuzaliwa wa
Jamhuri ya Muungano;
(d) wakati wa kugombea, ana umri usiopungua miaka arobaini;
(e) anazo sifa za kumwezesha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano kwa mujibu wa Katiba hii;
(f) anayo angalau shahada ya kwanza ya chuo kikuu
kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi;
(g) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa au mgombea huru;
(h) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa
Taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi au jinsia;
(i) ni mwadilifu na anafuata maadili ya Taifa;
(j) mwenendo wake binafsi hautiliwi shaka na jamii;
(k) hajatiwa hatiani kwa kosa lolote la jinailinalohusu kukosa
uaminifu; na
(l) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi
Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa
kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.
Naomba mnisaidie hicho kipengele anachokisema Malemo kwa mujbu wa Gazeti la Mtz ni kipi? au ni katika Rasimu ya Pili?
2015 for Lowassa, wengine wote ni wasindikizaji na wanatekeleza wajibu wao wa kikatiba
2015 Vote for Lowassa, vote for HopeAcha presha yeye ndo atakua mshindikizaji tena ili awe hata wa pili itabidi mtumie nguvu za ziada yani watu wamechoshwa na polojo nimabadiliko tu.
Mkuu karibu tena! au ulikuwemo kwa id tofauti? maana magamba......janja nyingi
Mkuu kipengele chenye urata ni (e) Angalia sasa sifa za kuwa mbunge.Ni yule ambaye hajatumikia vipindi 3 vya ubunge