Mipango ya majiji Tanzania

Mipango ya majiji Tanzania

Bwana haya maisha ukiangalio unaona kabisa Viongozi maono zero!

Ukiangalia watu wanavyohangaika kupata huduma Kariakoo au Karume na wanahangaika kurudi makwao bila sababu za msingi!

Mfano Dar es Salaam saizi imejaa lakini hakuna mkakati wa kutenga masoko kulingana na huduma!

Mfano Kariakoo ingekuwa soko la vifaa vya kielectric kama simu,radio,tv nk

Tandika ingekuwa soko la nguo kama mapazia,nguo za akina mama nk!

Mbezi ingekuwa soko la magari na spare mbalimbali za pikipiki,bajaji na magari!

Makumbusho lingekuwa soko la viatu na kila aina ya kiatu utakikuta pale!

Hapo moja kwa moja Kariakoo ingepumua na hakuna mtu angehangaika kuja kariakoo!

Mji ungekua na kupendeza pande zote!

Hata China wana miji yameitenga kwa ajili ya Magari,Nguo na Vifaa vya kielectric na mtu akifika tu Airport atapewa taarifa ukitaka bidhaa fulani utaenda mji fulani na utapanda train hapa kwa masaa kadhaa!

Ndo maana China ina miji miji yenye hadhi karibu sana na inaunganishwa na usafiri mzuri wa anga,barabara,reli na maji.

Mji kama Mbeya ungekuwa ni center ya bidhaa kwa miji yote midogo ya kusini na nyanda za juu pamoja na miji kama Ndola,Kitwe,Kalulushi,Chililabombwe Lusaka kwa nchi ya Zambia kutapata bidhaa hapo kutokana na masoko makubwa yenye kila aina ya bidhaa mtu anayoweza kuipata Dar es Salaam!
Hua najiuliza wakienda nje ya nchi, hawaoni aibu kurudi kwao ? Tunahitaji pesa kidogo na uthubutu mwingi
 
Hao watu unaodai wanakuja Dar kwa sababu hakuna maboresho ya huduma!
Wewe unadhani miji kama Mwanza na Arusha ikiboreshwa mtu anaweza kutamani kuja Dar kufanya nini?
Mkuu, lengo ni kila mkoa uwe na vivutio vya tofauti kisha kila mwananchi ataamua aishi wapi

Wewe toa mapendekezo Arusha/Mwanza iboreshwe vipi
 
Bwana haya maisha ukiangalio unaona kabisa Viongozi maono zero!

Ukiangalia watu wanavyohangaika kupata huduma Kariakoo au Karume na wanahangaika kurudi makwao bila sababu za msingi!

Mfano Dar es Salaam saizi imejaa lakini hakuna mkakati wa kutenga masoko kulingana na huduma!

Mfano Kariakoo ingekuwa soko la vifaa vya kielectric kama simu,radio,tv nk

Tandika ingekuwa soko la nguo kama mapazia,nguo za akina mama nk!

Mbezi ingekuwa soko la magari na spare mbalimbali za pikipiki,bajaji na magari!

Makumbusho lingekuwa soko la viatu na kila aina ya kiatu utakikuta pale!

Hapo moja kwa moja Kariakoo ingepumua na hakuna mtu angehangaika kuja kariakoo!

Mji ungekua na kupendeza pande zote!

Hata China wana miji yameitenga kwa ajili ya Magari,Nguo na Vifaa vya kielectric na mtu akifika tu Airport atapewa taarifa ukitaka bidhaa fulani utaenda mji fulani na utapanda train hapa kwa masaa kadhaa!

Ndo maana China ina miji miji yenye hadhi karibu sana na inaunganishwa na usafiri mzuri wa anga,barabara,reli na maji.

Mji kama Mbeya ungekuwa ni center ya bidhaa kwa miji yote midogo ya kusini na nyanda za juu pamoja na miji kama Ndola,Kitwe,Kalulushi,Chililabombwe Lusaka kwa nchi ya Zambia kutapata bidhaa hapo kutokana na masoko makubwa yenye kila aina ya bidhaa mtu anayoweza kuipata Dar es Salaam!
Nikurekebishe kidogo. Tunatakiwa tuwe na kariakoo Tanzania kama 8 hivi. Ukisema uuze kila kitu separately utatesa watejsa yaani nitoke.mbagala kununua kitu fulani afu.baadae niende mbezi. baadae Tandika ni usumbufu mkubwa sana

Mkoa wa Dar na wilaya za mkuranga . Kibaha na kisarawe zinatakiwa zijengwe flats tu.kwa ajili ya makazi na biashara.

Kwa wale wanaotaka nyumba zao binafsi waanzie mbele ya hizo wilaya tena kwa mpangilo maalumu. Huu.mji ungekuwa mtamu sana. Ila kwa sasa ukipita vinguinguti. Tandale nk unachoka
 
Habari wakuu,

Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama tuko katika banda la wanyama. Hakuna mpangilio wala hakuna kiongozi yeyote anaezungumzia hilo

Ukiangalia tafiti za mashirika mbalimbali, Dar ni jiji litakalokua na watu wengi sana ifikapo 2030

Utafiti wa the citizen

Utafiti wa world bank

Nimeona nifungue hili jukwaa tuweze kujadili kwa undani, nini hasa kifanyike na pia ni viongozi gani tuweza kuwapata tujiunge na kufanya lobbying katika wizara husika

Tunafahamu nchi yetu ina shida ya ukwasi, hivyo mawazo yetu yawe ya kutumia resources chache na kuleta tofauti kubwa. Mpango huu utaweza kufanya makadirio ya maji na umeme (Wote tunajua shida ya junk electricity <umeme mdogo> tuliyonayo mtaani na pia shida ya maji)

Jiji la Dar kwa miaka 50 - 80 ijayo

Phase I (Upande wa juu wa Morogoro road. Kuanzia Ubungo - Saadani National Park)

Ushauri wangu utaanzia barabara ya mbezi - goba - Wazo hadi Saadani.

1. Bagamoyo - Kibaha - Chalince iwe ni part ya Dar

2. Katikati ya Mogorogo road na Bagamoyo road, serikali itenge Central Park (Amani Central Park) itakayo fika hadi mpakani mwa Saadani National Park. Amani park iwe na upana wa km 2 - 3

3. Kutengenezwa njia kuu 8 upande wa juu na wa chini wa amani central park

4. Upande wa juu na wa chini wa Amani, yaachwe maeneo kwa ajili ya biashara na makazi (skyscrapers)

5. Kila baada ya kiiomita kadhaa, kuwe na barabara za mitaa kugawanya maeneo ya makazi, biashara, buruadni, masoko, shule nk. Hii itakua ni mistatili. Kila mstatili utapatiwa makadirio ya maji na Umeme na kua maintained kwa urahisi

6. Barabara hizo kuu ziwe sio chini ya njia 4, huku za mitaa ziwe na njia 2 kila upande, hii bila kusahau lane za watembea kwa miguu, treni katikati na at least 2 lanes kila update for future use

7. Katikati ya Amani central Park, kuweke uwanja wa Matamasha ya jijini DSM

8. Mwisho wa Amani Park, itengenezwe Tanzanite Towers itakayo angalia Amani central Park & Saadani national Park

9. Utengenezwe uzio wa kuingia Saaadani na kisha maeneo hayo yawe ni prime kwa ajili ya the super rich

10. Maeneo ya umwagiliaji ruvu yabaki kama yalivyo

Nini tufanye kwa wenye viwanja + nyumba zao

1. Wenye maeneo sasa ivi, waandikishwe na watapewa viwanja baada ya eneo lote kupimwa

2. Walio na nyumba, baada ya zoezi la kupima kukamilika, watapewa nyumba standards katika maeneo yaliyopimwa

Makadirio ya Plan hii inaweza kuchukua miaka 5 - 8 hadi kukamilika

Karibuni tujadili wakuu
Pokea Hela zako mkuu kujenga kuna adhari kubwa sana

-Mauaji

- Utekaji

- Ndoa kuvunjika

- Ukichaa

- Kubaguliwa

Bora tusijenge

Kijana Kaomba Utajiri apewe leo kwa jila la yesu hata €333,000,000,000 atakosa kweli JF- Sielewagi etiiii
 
Unawaza mipango miji chini ya utawala wa CCM?
Hilo unalolifikiria halitatokea milele. Shida ya hii nchi ni CCM, narudia tena shida ya hii nchi ni CCM. Siku CCM ikitoka madarakani, njoo na haya mawazo, nakuhakikishia huenda kwa 80% huenda yatatekelezwa ndani ya miaka 5 tu.

Kama hufahamu tu, CCM ndio mtambo mkubwa wa kisiasa katika kuchakata mipango yoyote ya maisha ya watu wote kijamii, kimakazi, kisheria, kiafya nk. hapa Tz tangu kupata uhuru. Bahati mbaya mnoo CCM ndio kiranja mkuu wa kuukumbatia ujinga, rushwa, ufisadi, umaskini, wizi, uuaji, upumbavu nk. Kwa hiyo mawazo yako yote yatapitishwa kwenye huo mtambo (CCM) na kitatokea kitu cha kipuuzi kabisa.

Kama huamini ninachokuelezwa waza habari ya Mama Professor Anna Tibaijuba (mama wa pesa za mboga). Ni msomi mkubwa, akifanya tafiti mbali mbali za uboreshaji wa mipango miji duniani, akisimamia project mbalimbali duniani za uboreshaji makazi ya watu na kufanikiwa vizuri mnoo, akiwahi kushikilia wadhifa mkubwa zaidi duniani kwenye makazi na mipango miji, yaani mkurugenzi mkuu wa shirika la makazi hapa duniani la umoja wa mataifa. Mwanamama akarejea TZ, akawa kada wa CCM, akapewa vyeo mbalimbali vikiwemo ubunge na uwaziri wa nyumba na makazi, kilichofuata ni kugeuzwa kuwa sehemu ya kundi ka watu waovu, akajulikana kama mla rushwa, fisadi na mwizi. Hakuna makazi yaliyoweza kuboreshwa, na mawazo yake yote ya uboreshaji miji na makazi yakayeyuka na kutoweshwa.

Kwa hii nchi, hata wakiletwa malaika, wakishavikwa uCCM kila kitu kitaharibika vibaya.
 
Professor Anna Tibaijuka miaka zaidi ya kumi iliyopita aliwahi kuja mpaka na mawazo ya kuwepo mji wa kisasa na uliopangika kule Kigamboni, yaani Kigamboni Satelite city, leo kuna kitu chochote kinaendelea?
Hiyo project ilitokomea wapi?
 
Mleta mada kama hujui tu, taratibu zote za mipango miji zinaanzia kwenye serikali za mitaa (vitongoji, vijiji na mitaa), halmashauri (madiwani, DED) na mwisho kabisa ngazi ya serikali kuu (wizara na baraza la mawaziri).
Nenda tazama namna uchaguzi wa serikali za mtaa ulivyofanyika na aina ya viongozi waliopatikana, halafu waza kama wazo la kisomi, kimaendeleo kuhusu upangaji wa miji linaweza kuibuliwa na kumea.
 
Professor Anna Tibaijuka miaka zaidi ya kumi iliyopita aliwahi kuja mpaka na mawazo ya kuwepo mji wa kisasa na uliopangika kule Kigamboni, yaani Kigamboni Satelite city, leo kuna kitu chochote kinaendelea?
Hiyo project ilitokomea wapi?
Haya mambo yanajirudia kwa sababu ya SDGs tu

E_SDG_Icons-11 (1).jpg

Ni uchochoro wa kupitisha mambo ya hovyoooo na sisi inabidi tujenge miji ya hovyo kulingana na mkubwa anavyosema...

Pokea Hela zako mkuu kujenga kuna adhari kubwa sana

-Mauaji

- Utekaji

- Ndoa kuvunjika

- Ukichaa

- Kubaguliwa

Bora tusijenge

Kijana Kaomba Utajiri apewe leo kwa jila la yesu hata €333,000,000,000 atakosa kweli JF- Sielewagi etiiii
 
Unawaza mipango miji chini ya utawala wa CCM?
Hilo unalolifikiria halitatokea milele. Shida ya hii nchi ni CCM, narudia tena shida ya hii nchi ni CCM. Siku CCM ikitoka madarakani, njoo na haya mawazo, nakuhakikishia huenda kwa 80% huenda yatatekelezwa ndani ya miaka 5 tu.

Kama hufahamu tu, CCM ndio mtambo mkubwa wa kisiasa katika kuchakata mipango yoyote ya maisha ya watu wote kijamii, kimakazi, kisheria, kiafya nk. hapa Tz tangu kupata uhuru. Bahati mbaya mnoo CCM ndio kiranja mkuu wa kuukumbatia ujinga, rushwa, ufisadi, umaskini, wizi, uuaji, upumbavu nk. Kwa hiyo mawazo yako yote yatapitishwa kwenye huo mtambo (CCM) na kitatokea kitu cha kipuuzi kabisa.

Kama huamini ninachokuelezwa waza habari ya Mama Professor Anna Tibaijuba (mama wa pesa za mboga). Ni msomi mkubwa, akifanya tafiti mbali mbali za uboreshaji wa mipango miji duniani, akisimamia project mbalimbali duniani za uboreshaji makazi ya watu na kufanikiwa vizuri mnoo, akiwahi kushikilia wadhifa mkubwa zaidi duniani kwenye makazi na mipango miji, yaani mkurugenzi mkuu wa shirika la makazi hapa duniani la umoja wa mataifa. Mwanamama akarejea TZ, akawa kada wa CCM, akapewa vyeo mbalimbali vikiwemo ubunge na uwaziri wa nyumba na makazi, kilichofuata ni kugeuzwa kuwa sehemu ya kundi ka watu waovu, akajulikana kama mla rushwa, fisadi na mwizi. Hakuna makazi yaliyoweza kuboreshwa, na mawazo yake yote ya uboreshaji miji na makazi yakayeyuka na kutoweshwa.

Kwa hii nchi, hata wakiletwa malaika, wakishavikwa uCCM kila kitu kitaharibika vibaya.
Aisee ni ngumu kumeza ukitafakari haya mambo mkuu. Unajiuliza wanakamua ng'ombe kisha hawamlishi ili afe tu.

Tunahitaji mapinduzi makubwa sana katika nchi yetu. Tunahitaji kupambana hadi kufa kwa ajili ya kuokoa watoto wetu na vizazi vijavyo
 
Professor Anna Tibaijuka miaka zaidi ya kumi iliyopita aliwahi kuja mpaka na mawazo ya kuwepo mji wa kisasa na uliopangika kule Kigamboni, yaani Kigamboni Satelite city, leo kuna kitu chochote kinaendelea?
Hiyo project ilitokomea wapi?
Ivi Professor Anna Tibaijuka yupo huku ? Achapishe utafiti wake sisi tuendeleza mapambano alipofikia

Kama kuna mtu anaweza ni connect naye nifatilie nitashukuru
 
Mimi nakubali mji wa shinyanga kwa mpangilo ile manispaa haina slams navichochoro kama dar na.miji.mingine barabara za mitaa zimenyooka kama ulaya
Shinyanga hivi wanamihela sana!? Maana nitajenga inatusumbua - Mipango mingine inawaza hadi vitukuu inakera unavyopewa kazi ya kupambana na jitu zima na mandevu yake... Nitajenga miaka 2069 huko jamaa anataka wajenge leo

Nitatafuta boss mmoja wa Shinyanga nijifunze.. Mipango inawaza 2999 - Wanataka tuwaze sasa hivi
 
Bagamoyo, chalinze, kibaha ziwe dar, KWANINI, kisha vikindu, kisemvule na mkuranga zikinoga mtataka ziwe dar, kwanini? Kila sehemu ya karibu na dar ikiendelea mnataka iwe dar.
 
Nitatafuta boss mmoja wa Shinyanga nijifunze.. Mipango inawaza 2999 - Wanataka tuwaze sasa hivi..

Tutajenga acheni kutengeneza ma Homelesss.. Mkitaka tuchapeni mboko lakini hatutamzidi yesu baada ya hapo mtajua mtajenga mwaka 5000

Tuache masihara Yesu ulitandikwa

images (3).jpeg
 
Bagamoyo, chalinze, kibaha ziwe dar, KWANINI, kisha vikindu, kisemvule na mkuranga zikinoga mtataka ziwe dar, kwanini? Kila sehemu ya karibu na dar ikiendelea mnataka iwe dar.
Sio lazima ziwe Dar, zinaweza kubaki katika mkoa wa Pwani.

1. Wazo langu limejumuisha Bagamoyo, chalinze, kibaha kwa sababu kuna uwezekano wa bandari ya bagamoyo kuchangia kuendeleza maeneo hayo kwa kasi zaidi

2. Maeneo mengine yanaweza endelezwa kwa awamu zinazofuata. Bado kuna upande wa chini wa Morogoro road Kuanzia Mbezi - Chalinze - Morogoro

Wewe unafikiri vikindu, kisemvule na mkuranga inaweza kuboresha kwa namna gani ?
 
Mawazo mazuri tatizo halifundishiki siku hizi... Ukisema barabara zipo shinyanga chungu mzima, ukisema flyover zipo Dar es Salaam chungu mzima, Ukisema train za umeme - Kenya zipo na saizi zinaelekea mwanza, Ukisema Tujenge nyumba nzuri zipo pale TBA/NHC chungu mzima

Anaetupiga kazi anataka Akileta Mipango wa kitu anapata na URAIS wa nchi hapo hapooo na uteuzi ukichelewa Jamii Yote JELA
 
Hivyo tupambane kubadili mfumo, mdogo mdogo tu mkuu
 
Au tuanze kwenye hiyo mipango miji utahitaji watu wa aina gani sana sana!?

👑 Upole au Ukali

👑 Ukarimu au Ukatili

👑 Muoga au Jasiri

👑Wanaocheka au Wanaonuna

👑 Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu

👑Wenye Fedha au Masikini

👑WafanyaBiashara au Wafanyakazi

👑 Uvivu au Uchapakazi

👑 Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja

👑Wafugaji au Wakulima

👑Wanaopenda Dini au Wapagani

👑Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe

Hivyo yaani
 
👑Wabunifu au Wasio wabunifu

👑Wasomi au wasiosoma

Hivyo yaani

Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa

images (3).jpeg
 
Back
Top Bottom