ufahamu gani..?usitegemee watu wa comment kwenye kifo! wamefichwa ufahamu....wako busy na Sebene wanajua maisha ni ya milele
Mungu atabaki kuwa Mungu hakuna wa kumzuia, kikubwa tukae tayari kwa loloteNimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza watu wawili muhimu kwake in 48hours kweli mipango ya Mungu ni ya ajabu na niya pekee
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu
kujua ufahamu ni neema ya Mungu,kama haijakufikia hutakaa unielewe.ufahamu gani..?
kwaiyo walio na neema ya mungu ndo wanaelewa..?kujua ufahamu ni neema ya Mungu,kama haijakufikia hutakaa unielewe.
kwa hiyo mkuu ulikuwa unataka kusemaje labda!The Bible says : "God is Love" 1 John 4:8
how can the Loving God be behind all deaths that accurs daily,be it man made, or natural disasters?
Nimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza watu wawili muhimu kwake in 48hours kweli mipango ya Mungu ni ya ajabu na niya pekee
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu
Hapa mkuu ume dig deep kwamba ule usemi unadhani una matatizo??? Mimi Nina matatizo zaidi yako ndio nauweka humo kwenye comment...Huko Burkina Faso kuna Ndugu wa canada wamepoteza watu sita kwenye shambulio la kigaidi lililotokea kwenye hotel ya splendid
Mkuu na mimi nina matatizo, usemi wako hauna matatizo, ila nilitaka uone kwamba kuna watu wana matatizo makubwa zaidi.Hapa mkuu ume dig deep kwamba ule usemi unadhani una matatizo??? Mimi Nina matatizo zaidi yako ndio nauweka humo kwenye comment...
Mungu anasingiziwa mambo asiyosababisha.Mtu anafanya kosa anapata tatizo alafu watu wanasema ni mipango ya Mungu.Je umejua kwa nini mtu Fulani amekufa? je labda sababu ni kutumia dawa za kulevya kama ilivyo kwa wasanii wengi? Au amekufa kwa accident ya gari na aliendesha akiwa amelewa? Au amekufa kwa kansa sababu ya uvutaji sigara?kwa hiyo mkuu ulikuwa unataka kusemaje labda!