PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fikra zako ni pana sana,unauliza maswali ya kidadisi sana natamani nijue unaamini nini mkuu.ufahamu gani..?
navyojua binadamu wote uwezo wetu wa kufkiri ni sawa..fikra zako ni pana sana,unauliza maswali ya kidadisi sana natamani nijue unaamini nini mkuu.
ni vizuri mkuu,.Namshukulu mungu njia yangu ya kwenda kwa mungu ni safi kidogo, ila naendelea kuisafisha wakati wa kupita kusiwe na pingamizi lolote. wengine njia zao hazipitiki kabisa kwa madhambi yao.
KWAHIYO WEWE ndugu,..unaamini hakuna Mungu?????au MUNGU SIO WA HAKI??Kama mungu yupo, kwa nini aruhusu mipango yake imnyang'anye Celine Dion mume wake na kaka yake katika kipindi kifupi hivyo?
Huyo mungu alishindwa kumpa Celine Dion hata mwezi?
imani kwa maana ya dini mungu,na vitu vinayofanana na hivyo.navyojua binadamu wote uwezo wetu wa kufkiri ni sawa..
kuamini kuhusu nini..?
naamini binadamu ni kama organism tu i mean hana roho...imani kwa maana ya dini mungu,na vitu vinayofanana na hivyo.
basi nikama ambavyo nilikuwa nafikiria kuhusu wewe,wewe ni miongoni mwa wanaadamu walio huru sana maana hujafungwa na chochote zaidi ya kuutumainia ubongo wako.ila hufichi hekima zako kwa kuruhusu majadiliano.safinaamini binadamu ni kama organism tu i mean hana roho...
lkn naweza kuamn kama mtu akinithibitishia uwepo wa vitu vya kufikirika mf.mungu,shetani
Namshukulu mungu njia yangu ya kwenda kwa mungu ni safi kidogo, ila naendelea kuisafisha wakati wa kupita kusiwe na pingamizi lolote. wengine njia zao hazipitiki kabisa kwa madhambi yao.
Sitaki kuamini, nataka kujua.KWAHIYO WEWE ndugu,..unaamini hakuna Mungu?????au MUNGU SIO WA HAKI??
wow PHILE1879 what a lovely answer you made my evening good? I support you for this answer God is not behind human sufferings because he loves us and want good thing to happen to us when we are happy he is and when we are sad he feels the sameThe Bible says : "God is Love" 1 John 4:8
how can the Loving God be behind all deaths that accurs daily,be it man made, or natural disasters?
unaamini biblia nikuthibitishie???????Sitaki kuamini, nataka kujua.
Kama mungu yupo, thibitisha.
unaamini biblia nikuthibitishie???????
maana asiyeamini ktk Mungu kuamini biblia ni tatizo,.shetani kakamata moyo wa mtu huyo
maadamu hutaki,..ok ila huo mwili utapita,na uhai unamwisho pia..Nimeandika sitaki kuamini, nataka kujua.
Unaniuliza kama naamini biblia.
Unajua kusoma? Au una makengeza ya ubongo?
Kabla ya kuniambia nimrudie mungu, thibitisha kwamba yupo.maadamu hutaki,..ok ila huo mwili utapita,na uhai unamwisho pia..
na dunia itapita pia,..nakushauri bure ndugu,..
MRUDIE MUNGU UOKOKE USIISHI MAISHA YA KUTENDA DHAMBI,..
.Kabla ya kuniambia nimrudie mungu, thibitisha kwamba yupo.
Sio kila mtu akifa ni mipango ya mungu,mingine mipango ya shetani tu..Nimekaa nikafikiria Kama kuna mtu mwenye huzuni duniani kwa sasa atakuwa mwanamama Celine Dion sababu kafiwa na mumewe alhamis kabla hata hajamzika mumewe Jana kaka yake kafariki yaani kapoteza watu wawili muhimu kwake in 48hours kweli mipango ya Mungu ni ya ajabu na niya pekee
Ndugu zangu kifo kipo this is a wake up call for all of us
Tuangalie njia zetu