B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,357 Reaction score 4,390 Jan 13, 2020 #21 Nikiwa busy hasa nikiwa nafanya kazi
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Jan 14, 2020 #22 Bar tena kwenye kiti kirefu pale "kaunta" ,huku nashushaaa kitu cha bariiiiiidiiii.
mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,652 Reaction score 4,468 Jan 14, 2020 #23 Mipango hua napanga muda kama huu usingizi unaponiruka kwa kufikiria shida nilizonazo na wingi wa madeni sugu.
Mipango hua napanga muda kama huu usingizi unaponiruka kwa kufikiria shida nilizonazo na wingi wa madeni sugu.