Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

Mipango yako unaipanga wapi na katika hali gani?

Bar tena kwenye kiti kirefu pale "kaunta" ,huku nashushaaa kitu cha bariiiiiidiiii.
 
Mipango hua napanga muda kama huu usingizi unaponiruka kwa kufikiria shida nilizonazo na wingi wa madeni sugu.
 
Back
Top Bottom