Rafiki yangu anafanyakazi hospitali moja huko ulaya, alikuwa na bill ya credit card kulipia, alipofika bank foleni hivyo alichelewa kwenda kazini, amefika kazini wagonjwa walishafahamishwa kuwa wawe na subira kuna shortage of staff, basi amefika akiwa anathema, mgonjwa wa kwanza kumuona alimwambia sababu ya yeye kuchelewa kazini, si ametoka kwenye consultation room akawaambia wote waliokuwa wanasubuiri kuwa dr. alikwenda kulipa bill ya credit card. Aliniambia alijifunza hapo ni nini cha kushare na ku hold on akiwa na wagonjwa.
Huyo shoga wako yupo UK? Kuna rafiki yangu mkewe ni doctor pia UK lakini ana credit card debt hatari. Pia sijawahi kusikia kama watu wanalipia credit card bills bank isipokuwa hutuma kwa njia ya Posta. Au mimi sijafahamuRafiki yangu anafanyakazi hospitali moja huko ulaya, alikuwa na bill ya credit card kulipia, alipofika bank foleni hivyo alichelewa kwenda kazini, amefika kazini wagonjwa walishafahamishwa kuwa wawe na subira kuna shortage of staff, basi amefika akiwa anathema, mgonjwa wa kwanza kumuona alimwambia sababu ya yeye kuchelewa kazini, si ametoka kwenye consultation room akawaambia wote waliokuwa wanasubuiri kuwa dr. alikwenda kulipa bill ya credit card. Aliniambia alijifunza hapo ni nini cha kushare na ku hold on akiwa na wagonjwa.
Kuna mzungu mmoja huyo alikuwa anatuonesha picha za mwanamke wake. Kila akinyoa nywele za chini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halafu wale wanene ndio acha kabisa ukiwa gegeda tu basi kazini mpaka fb, insta na twitter watajua wote.Wale watu hawana siri, anaweza kukuelezea mambo yake yote yanayoendelea katika maisha yake! Hawana mipaka wale!
sanaaaaaaaaUmbea wa kizungu haunogi.
Unaweza kulipia kwenye bank yako kama bills nyingine.Huyo shoga wako yupo UK? Kuna rafiki yangu mkewe ni doctor pia UK lakini ana credit card debt hatari. Pia sijawahi kusikia kama watu wanalipia credit card bills bank isipokuwa hutuma kwa njia ya Posta. Au mimi sijafahamu
Shilawadu.com wanaume wa Dar mnatusikitishaa [emoji115]Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya tendo kisha mnalala... Nikioa mzungu haya hayawezekani.. Umbea na kizungu wapi na wapi?