Mipango yangu ilikuwa kuoa mzungu lakini nimeisitisha

Mipango yangu ilikuwa kuoa mzungu lakini nimeisitisha

Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya tendo kisha mnalala... Nikioa mzungu haya hayawezekani.. Umbea na kizungu wapi na wapi?
Hahaha.....weye ni majanga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu ushawahi kuwa nao hao wazungu karibu? Naweza kusema wazungu wambea kuliko hata waswahili manake hukupa mpaka mambo yao ya ndani. Mzungu huanza kukuhadithia mambo yake halafu huja ya bosi wake na shoga zake mpaka familia yake. Na ukiondoka tu anaanza kukusema wewe sema wapo wepesi kuomba radhi. Lakini mswahili roho mbaya ndio anaongoza zaidi ya mzungu, kuomba radhi ni wachache sana.
Umeambiwa ishu lugha
 
Back
Top Bottom