[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu ushawahi kuwa nao hao wazungu karibu? Naweza kusema wazungu wambea kuliko hata waswahili manake hukupa mpaka mambo yao ya ndani. Mzungu huanza kukuhadithia mambo yake halafu huja ya bosi wake na shoga zake mpaka familia yake. Na ukiondoka tu anaanza kukusema wewe sema wapo wepesi kuomba radhi. Lakini mswahili roho mbaya ndio anaongoza zaidi ya mzungu, kuomba radhi ni wachache sana.