Nilipanga niwe na watoto hata wawili kabla mwaka 2018 haujaisha....lakini mwaka umeisha huku nikiwa hata mama yao sijampata
Hapa sawamkuu kutongoza siio shida shida ni kupata wa kuishi nae anae faa kuitwa mke
ndiyo watamu sana hao sura si rohohahahahahahaha mkuu umemuona sura yake, siku hizi watu wanaleta wafanyakazi wabayaaa ilikudumisha usalama
Uko kama mimi mkuuNilipanga niwe na watoto hata wawili kabla mwaka 2018 haujaisha....lakini mwaka umeisha huku nikiwa hata mama yao sijampata
Eti jamani, anaonekana domo zege huyuYou sonovagun!Wasichana woootee hao haujapata mmoja?Acha uvivu.Tembea uchekicheki mademu weye!
Jamaa mzembe sana.Tunaandaa barua kali ya karipio tukiwa kama chama cha wanaume shughuli.Aangalie sana.Tumepanga kumnyang'anya kadi na kumkataza kuvaa mavazi ya kiume.
Hahahaa msameheni mwaka huu atajirekebishaJamaa mzembe sana.Tunaandaa barua kali ya karipio tukiwa kama chama cha wanaume shughuli.Aangalie sana.Tumepanga kumnyang'anya kadi na kumkataza kuvaa mavazi ya kiume.