Mipango yangu ya kuwa na mtoto mwaka 2018 haijatimia

Mipango yangu ya kuwa na mtoto mwaka 2018 haijatimia

Tembea
Nilipanga niwe na watoto hata wawili kabla mwaka 2018 haujaisha....lakini mwaka umeisha huku nikiwa hata mama yao sijampata

tembea na beki 3 mbele kwa mbele
 
Itakuwa huna Hela au huna uwezo wa kutongoza
Ukiwa na hivyo viwili kwa pamoja sidhani kama inashindikana
 
Watoto wawili?

Inaonekana huu ni mpango wa kama miaka minne nyuma!

Jitahidi upunguze udomo zege Mkuu!
 
Back
Top Bottom