Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo:
I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira)
ii) Milimita za Mpira (unene).
iii) Pressure nzuri ya maji
iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)
NB: Nikipata na bei itakuwa jambo jema. Nilizoea kutumia vibarua wa kumuagilia kwa ndoo lakini Sasa naona mpira unaweza kuwa the best solution.
Natanguliza shukrani kwa msaada.