Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Yule aliyebebwa juu juuInawezekana ukawa sahihi aisee, Kwa maoni yako unahisi thamani yake ni shingapi mkuu na unahisi ni mchezaji gani ndani ya VPL ana thamani kubwa kuliko Luis?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule aliyebebwa juu juuInawezekana ukawa sahihi aisee, Kwa maoni yako unahisi thamani yake ni shingapi mkuu na unahisi ni mchezaji gani ndani ya VPL ana thamani kubwa kuliko Luis?
How..elezea Kwa mapana,Kwa nn asiweze kuziba pengoBwalya hataziba pengo la Miquissone
Tena atatoboa haraka sana au aende kwenye team za south AfricaKabisa..namshangaa huyo jamaa anasema akija Simba hawezi kutoboa
Hana thamani ya B2 usd huyo......Hii ndo maana ya Simba kuitwa next level.
Toa mwiko huko nyuma, tumia akili. Unateseka ukiwa wapi?Viongoz wa Simba waendelee tu kuwafanya mashabiki wao Mbumbumbu. Luis hana thamani hiyo. Hajawah kuwa nayo na hautakuja kuwa nayo.
Timu kubwa inaposajili mchezaji huangalia Mambo mengi.
Simba wanapotosha Kwa faida ya nani?
Viongoz wa Simba waendelee tu kuwafanya mashabiki wao Mbumbumbu. Luis hana thamani hiyo. Hajawah kuwa nayo na hautakuja kuwa nayo.
Timu kubwa inaposajili mchezaji huangalia Mambo mengi.
Simba wanapotosha Kwa faida ya nani?
Daaaaaah unapinga bila fact, au unafikiri simba ni sawa na utopoloViongoz wa Simba waendelee tu kuwafanya mashabiki wao Mbumbumbu. Luis hana thamani hiyo. Hajawah kuwa nayo na hautakuja kuwa nayo.
Timu kubwa inaposajili mchezaji huangalia Mambo mengi.
Simba wanapotosha Kwa faida ya nani?
Kwa hiyo Al Ahly wametoa Bilion 4?Daaaaaah unapinga bila fact, au unafikiri simba ni sawa na utopolo