Miradi 14 mikubwa ya Madini kufungua fursa kwa Makampuni ya ndani

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi asilimia 90 ya thamani hiyo inabaki nchini, hivyo kuongeza ajira, kukuza biashara za ndani na kuchochea uchumi.

1791536389001.png
 
IMG-20261008-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom