figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa, Mkoa, Wilaya hadi Kata.
Shule zilifungwa, Ofisi zilifungwa ili watu wakajaze uwanja wa Mwansiasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama tawala. Na ukikosa kwenda Mkutanoni ni faini. Hivyo wakina mama walikuwa hawapikii watoto wala waume zao ili wakawahi mkutano kuepuka adhabu.
Bila shaka Vitukuu vyetu vitatushangaa sana.