Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mungu na Aendelee kuibariki nchi yetu nzuri iliyobarikiwa kila kitu ambacho mwanadamu anakihitaji kwa maendeleo yake katika kasayari haka kazuri 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 2787950View attachment 2787951View attachment 2787952
kwaihiyo na wewe umekwamia kulalamiaka na mwaka ndio huo umeisha, na hujakwamua lako hata moja?Sgr kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Kengekwaihiyo na wewe umekwamia kulalamiaka na mwaka ndio huo umeisha, na hujakwamua lako hata moja?
sa itakuajeege...
Naam Nyumbu...Kenge
Hizi ni hisia na matamanio yako. Alisema kipande Cha Dar-Moro kitakuwa tayari Hadi November 2019, lakini hadi anaelekea jehanamu ilikuwa Bado. Bomba la mafuta alisema kufikia November 2020 litakuwa tayari lakini Hadi Leo akiwa motoni Bado. Inaonekana uliamini uongo wake.Sgr kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Bomba la Mafuta ya nani?Hizi ni hisia na matamanio yako. Alisema kipande Cha Dar-Moro litakuwa tayari Hadi November 2019, lakini hadi anaelekea jehanamu ilikuwa Bado. Bomba la mafuta alisema kufikia November 2020 litakuwa tayari lakini Hadi Leo akiwa motoni Bado. Inaonekana uliamini uongo wake.
SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Mjane wa Marehemu wa Chato unateseka mwenyewe.SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Hauna taarifa sahihi. Rais Samia hakukuta fedha yeyote. Yale mambwembwe ya TASK FORCE na fedha za Plea bargain kutoka kwa walioitwa "mafisadi" zilikuwa zinawanufaisha Magufuli na watu wake. Miradi yote mikubwa alikuwa anajenga kwa kukopa toka mabenki. ya ndani na nje, huku akiwadanganya wananchi kuwa ni fedha za ndani.Sgr kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa na akina January Makamba na wenzake ili wanufaike na matumbo yao huku Watanzani wakitabika.
Mkuu failure ya Wanasiasa usiitafutia scapegoat kwetu, mimi ni mdau ujue?Unategemea matajiri wa malori na mabus wakubali SGR ikamilike kweli.
Na aliyepo vipi?Huyo Magufuli alikuwa kubwa jinga
Wamekamatwa??Hauna taarifa sahihi. Rais Samia hakukuta fedha yeyote. Yale mambwembwe ya TASK FORCE na fedha za Plea bargain kutoka kwa walioitwa "mafisadi" zilikuwa zinawanufaisha Magufuli na watu wake. Miradi yote mikubwa alikuwa anajenga kwa kukopa toka mabenki. ya ndani na nje, huku akiwadanganya wananchi kuwa ni fedha za ndani.
Alichofanya Samia ni ku restructure miradi mikubwa ili imalizike kwa muda wa mbali bila kuleta stress kwenye makusanyo na matumizi. Ndiyo maana tunaona anaweza kuongeza mshahara wa watumishi wa umma na kutoa ajira kwa wahitimu wa vyuo
Hili mburula huwa halitumii akili.Wamekamatwa??
Wewe nawe ni mjinga fulani hivi na unaushabiki wa kipumbavu tu!
Hao walioundiwa tume kwa madai ya kificha pesa China walikamatwa??
Unaushahidi wa kuwa hakukuta pesa BoT??